
harmonize - niteke lyrics
konde boy
heheheh.. g*nius
[verse1; harmonize]
mmmmh
i want to keep you, i no go let you go
nishafunga na zipu, kwingine nishasema no
acha nikusiifu, uzuri wa nyumba choo
na ulivyo nadhifu, sipati vidonda vya koo
eeeh
if you leave me i go die, i go die ma bebe
na ukinipenda ntajidai, ntajidai ma bebe
[pre-chorus; harmonize]
ooooh ohooo ohoo
nakoma na zako kachiri, kachiri, ukibinuka binuka
eeeeeh eheee ehee
kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashika mashika
[chorus; harmonize]
asa bebi nite.. uniteke, uniteke
nicheke kama mtoto, uniteke (ah bebi nitekenye)
bebi (ahh) hapo ndo penyewe, uniteke, chii uniteke
ninenepe kama mpoto, uniteke (ah bebi nitekenye)
[verse 2; harmonize]
mmmmh
macho yake nungunungu, akinitazama
nami nageuka nungunungu, miba inasimama
macho yake nungunungu, akinitazama
nami nageuka nungunungu, miba inasimama
eeeh
fanya wazi unachotaka, zidisha kunipenda
kuna paparazi na basata, tusichapane madenda
[pre-chorus; harmonize]
ooooh ohooo ohoo
nakoma na zako kachiri, kachiri, ukibinuka binuka
eeeeeh eheee ehee
kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashika mashika
[chorus; harmonize]
asa bebi nite.. uniteke, uniteke
nicheke kama mtoto, uniteke (ah bebi nitekenye)
bebi (ahhh) hapo ndo penyewe, uniteke, uniteke
ninenepe kama mpoto, uniteke (ah bebi nitekenye)
[hook; harmonize]
asa bebi mi nataka nikukande, pindaa, pinda mugongo, pindaa
yaani pinda nikukande, pindaa, pinda mugongo, pindaa
ooh nishikilie nami nikugande, pindaa, pinda (mi napinda mugongo) pindaa
embu nipe nikukande, yaani nikukande
chiiii
embu nipe nikukande, yaani nikukande
Random Lyrics
- muff potter - alles was ich brauch lyrics
- the jlo experience - what you gotta say? lyrics
- upchurch - best believe lyrics
- royal tusk - shadow of love lyrics
- muff potter - 22 gleise später lyrics
- lil morty - dirty bi lyrics
- the skints - just can't take no more lyrics
- muff potter - der sound der neunziger lyrics
- the skints - contemplations of the modern rudeboy lyrics
- giantpink - mirror mirror lyrics