azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - tanzania lyrics

Loading...

amen, amen, amen

tanzania
nchi yangu
mama samia
rais w+ngu
hussen mwinyi
rais w+ngu
amani upendp
ndio ngao yangu

tanzania
nchi yangu
mama samia
rais w+ngu
hussen mwinyi
rais w+ngu

bara na visiwani wee
mambo ni sawa
shetani alaaniwe
asije tugawa
tumuenzi nyerere
abeid amani karume
wapiga kelele
acha roho ziwaume
naipenda tanzania
hasa hasa ya samia
naipenda tanzania
tanzania ya samia

mungu tubariki baba

amen, amen, amen

tanzania
nchi yangu
mama samia
rais w+ngu
hussen mwinyi
rais w+ngu
amani upendp
ndio ngao yangu

ni furaha
ni furaha
kuzaliwa tanzania
ni furaha

nina furaha
ni furaha
najivunia tanzania
ni furaha
bara na visiwani wee
mambo ni sawa
shetani alaaniwe
asije tugawa
tumuenzi nyerere
abeid amani karume
wapiga kelele
acha roho ziwaume

naipenda tanzania
hasa hasa ya samia
naipenda tanzania
tanzania ya samia

mungu tubariki baba



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...