azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - wote lyrics

Loading...

cough
oh oh oh oh oh oh
b boy

verse 1
mwenzako zikianza story za mapenzi
mfano wakwanza ni wewe
hadi marafiki zangu wananicheka
nauk+mbuka ushenzi tulofanyaga
mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga
hata wakisema maneno
ni bure maana nyani halionagi kundule
wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi
ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
siwez danganya nishamaliza
kila niliempaga moyo autunze
basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
we unanijali unanivumilia
i wish tuzeeke wote
i wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
i wish tuzeeke wote
i wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
mapenzi sa ukiondoka nitabaki na nani
mapenzi ukibaki nitaondoka na nani
siwezi peke yangu

verse 2
yeah
mama ukiongeza nitajinenepea
unavyo nigombeza nakuona una care
eti hatuj+pendeza wanatufokea mi
i don’t care ndo nishakolea
cough

kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi
leo sinza kesho kinyerezi mara mbezi
ujana una mengi na mengine na mi nimefanya siwez danganya nishamaliza
kila niliempaga moyo autunze basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
we unanijali unanivumilia
i wish tuzeeke wote
i wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
i wish tuzeeke wote
i wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
i wish i wish i wish

mapenzi sa ukiondoka nitabaki na nani
mapenzi ukibaki nitaondoka na nani
siwezi peke yangu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...