
harmonize - x lyrics
[verse 1]
nani kasema x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
nikimwona +n+lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj+pewa
viuno alivyopewa, anajiona kachelewa, age go
ohhh… uuhhh… ohhh!
[chorus]
nani kasema x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[verse 2]
(mh) ibiza, miami, mbali haj+pelekwa hata zanzibari
hapo kizimkazi aka enjoy low budget dubai hatoboi
anasikitisha x, kama embe la mti wa porini
anajipitisha x, amekosa wa k+muweka mjini
nikimwona +n+lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj+pewa
viuno alivyopеwa, anajiona kachelewa, age go
[chorus]
nani kasеma x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w+ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[outro]
aaahhh… bomboclaat!
it’s konde boy, call me number one!
bakhresa
ahhhill
konde music worldwide!
eh! sik+mpenda tu, nilimtukuza
nikala bata bila k+mchunguza (babe)
mambo madogo akayakuza
eti kisa upendo akaniburuza
Random Lyrics
- simbachka - да я электронный котик (yes i am an electronic cat) lyrics
- solo (ita) - noi, tutto lyrics
- roberta flack - the song is love lyrics
- grim brxzy - demon time lyrics
- edge of sanity - crimson, pt. 4 lyrics
- yanix - останься (stay) lyrics
- dj goja - save me sos lyrics
- kid travis & marion iv - haunted lyrics
- cole myer - dyslexia lyrics
- fós (ire) - molly na gcuach ní chuilleanáin lyrics