
heavy cane - addicted lyrics
you my medicine nanii
you my remedy wewe
tulipatana tiktok
nikamuomba number
sai penzi ni zito
me ndo mwenye kiwanda
tulianza na masikitiko
maisha yakituramba(ramba)
sai kuachana ni mwiko
tushabomoa mwamba uu uu uu
beb i’m addicted to you,, ama umenipa juju
zimeshika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
beb i’m addicted to you,,ama umenipa juju
zimenishika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
when i look to your eyes, vile nahisi
(kibaridi baridi)
ooh ntafurahi , ukiwa nami iih
(nitakupenda zaidi)
we nanii you my medicine
nanii, apple of my eyes
ooh hunny you my remedy
wewe angel of my life yee yee
nanii you my medicine
nanii, apple of my eyes
oooh hunny you my remedy
wewe angel of my life
beb i’m addicted to you,, ama umenipa juju
zimeshika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
beb i’m addicted to you,,ama umenipa juju
zimenishika nahisi mavitu tu,,umenilewesha you my bubuu
Random Lyrics
- harlow - don't say we're over lyrics
- big wilz - mona lisa lyrics
- кайчук (kaichuk) - блиста́ть (shine) lyrics
- sky jin - alcohol lyrics
- q tha hero - brave and the bold lyrics
- high tea - scuba diving lyrics
- d$t rap battles - this man vs sandman lyrics
- lu alone - vem com o peso da tua glória (ao vivo) lyrics
- jdswat - v13n3 lyrics
- lepra paranoia - chuloare lyrics