hotsea - furahia lyrics
[intro]
mi nataka kujibamba (aha!)
nimechoka kuwa down
mi nataka kujibamba (haha)
niwe na bob ama soo
lazima kujibamba
nimechoka kuwa down
mi nataka kujibamba (yeah)
[chorus]
despite mi kupitia shida za dunia
ninafurahia…ninashangilia
furahia (aye)
shangilia (oh)
mi naishi life ya mine unado nini?
furahia (aye)
shangilia (oh)
mi naishi life ya mine unado nini?
[verse 1]
yes mi ni bantu
no wonder mi hukam na ma-one-two nikikam through
niki-earn tu
nikiona dame nabaki niki-want to
k-mkwachu
kwa mgogngo kwanza akuwe na tattoo
itabaki mi na yee tumeenda round two
nimuite boo…nami aniite boo
kwa akili ya mine akuwe straight ka shampoo
soft ka shampoo lakini for now l-st imekuwa tough ka bamboo
reality ya mine clear ka sky blue
kile nataka pia clear ka skyy blue
[refrain]
take your time to live your life
[chorus]
despite mi kupitia shida za dunia
ninafurahia…ninashangilia
furahia (aye)
shangilia (oh)
mi naishi life ya mine unado nini?
furahia (aye)
shangilia (oh)
mi naishi life ya mine unado nini?
[verse 2]
nakusihi mie
unifwate tukafurahie
na nikisema ninataka ondoa
kuwa mpole kujaribu kunikosoa
nili-take time solo kujikomboa
nita-take time solo kujibomoa
nikisema ninataka ondoa
kuwa mpole kujaribu kunikosoa
nili-take time solo kujikomboa
nita-take time solo kujibomoa
[repeat]
bamba…
nimechoka kuwa down
mi nataka kujibamba
niwe na bob ama soo
lazima kujibamba
nimechoka kuwa down
mi nataka kujibamba
[outro]
furahia
despite shida zote unapitia leo
shangilia
ukikubali eh tuta…
furahia
nacheki tuko wengi joh
shangilia
basi bounce na mi…aye!!!
Random Lyrics
- des flores - sorry now lyrics
- tep no - lana del dre lyrics
- nexeri feat. jex - games lyrics
- sho baraka - foreward, 1619 lyrics
- imagine dragons - natural lyrics
- stephen marley - it's alright lyrics
- khai bahar - jodohku lyrics
- big mama - accelerate lyrics
- lyves - holding back lyrics
- iv of spades - in my prison lyrics