hotsea - yeye lyrics
[intro]
hotsea!!!
[pre chorus]
niko sawa na yee
nataka songa mbele na yee
ishi naye milee
anayenipa raha ni yee x2
[verse 1]
kuna vile mi hufeel
nikimuwaza toka morning hadi jioni
na kama si kufeel najua
yee pekee ndio ako worth hizi milioni
kwa yangu maisha yee ndio dolly namtreat poa sana kuliko hata polly
kan’tuliza roho kama molly
nawasha nare naye pekee coz yee ndio ngori (yee!)
hii ngoma kweli yake pekee
namcrown queen na hii ring na ni yeye pekee
hunifanya nawa king naacha kelele
hunifanya ninaring kama kengele (yee!)
nataka coast leo pamoja tuende
nasema tena mami inchu togende
nataka nikulinde inchu nkorende
nataka ukule five star tiga ching’ende
[chorus]
niko sawa na yee
nataka songa mbele na yee
ishi naye milee
anayenipa raha ni yee x2
[verse 2]
naacha kutembea na umati
juu nishapata w-ngu wa dhati
anayenipenda kuliko wote, ananipeleka mbali kuliko patipati
jana nilikuwa kwa kamati
ya mafisi lakini leo sitaki
nataka yule moja w-ngu safi
wengi wakija basi hao mie sitaki (yee!)
level yake ya loveliness
iko next tu na godliness
holiness namwita wholly blessed
amejawa na wema yaani kindliness
sikujaribu hata once kuguess
niljua hangewahi nimess
loveliness, holiness, wholly blessed…adventuress
[chorus]
niko sawa na yee
nataka songa mbele na yee
ishi naye milee
anayenipa raha ni yee x2
[outro chorus]
niko sawa na yee
nataka songa mbele na yee
ishi naye milee
anayenipa raha ni yee x2
Random Lyrics
- jay vee - homebound lyrics
- boston manor - bad machine lyrics
- helem nejse - mahala lyrics
- bigbreadjrock - 86zoe anthem lyrics
- triple xxx - el pueblo está hablando lyrics
- чаруша (charusha) - 16 lyrics
- mustafunk - fever lyrics
- yoga fire - hate lyrics
- jmaes rogers - she'd forget you lyrics
- cherrie - sherihan pt.ii lyrics