azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ibraah - dharau lyrics

Loading...

bomboclaat
chinga again
konde music worldwide

mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo
na sikupanga imenibidi kulivua pendo
maana mwanzo nilidhani utabadilika
of course hakuna aliekamilika
masaaa masiku miaka imekatika
nachukia kujiona nikilalamika

bora ugali dagaa kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbwi kurupushani
kama unajiona kichwa shingo nani

bora ugali dagaa kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbwi kurupushani
kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi

dharau, manyanyaso
dharau, masimango
dharau, manyanyaso
siweziii siweziii
dharau, manyanyaso
dharau, masimango
dharau, manyanyaso
siweziii siweziii

yeah, me nilidhulumu nafsi kujikirihisha
nikiamini me mtu wa mtu
k+mbe bora ninge chukuchuku
aaah kidogo
ninge fanya utukutu
moyo ndio ulikupa nafasi
chakusikitisha ninacho ambulia ni maumivu tupu
bora ninge chukuchuku
aaah kidogo
ams ningewapa wakifanye supu

kwako nilikuwa nyendo sina
nikijua you are my sestiny
sina wa k+mtunzia heshima
kama hata wewe nitashindwa kukuthamini

nikweli utakwenda mazima
j+po itakuwa ngumu kuamini
nitamisi michezo ya mama amina
yakucheza kwaku buruza ulimi
mapenzi ulionipa wewe
walahi misikutamani mwengine we wakiapo
mwenzangu umebadilika wewe
j+po minakupa kila utakacho

bora ugali dagaa kwenye amani
kuliko wali nyama vitani
mateso vitimbwi
na ndio maana hatuendani weeeh

dharau, manyanyaso
dharau, masimango
dharau, manyanyaso
siweziii siweziii

dharau, manyanyaso
dharau, masimango
dharau, manyanyaso
siweziii siweziii

dharau, manyanyaso
manyanyaso
kondeboy call me “number one”
bakhresa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...