ibrahim max (ebreezy) - mawazo lyrics
chorus
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
ndo mwawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
changu
verse 1
tafsiri chini ya tafsiri kuwa makini maneno yata ku lead kwenye madini/
ili uweze kuji sajili,nakupa urithi wa hizi hadithi/
hizi ni mbinu kutumia akili,ili uweze kujisajili/
jinsi kutafuta njia za kutoka/ utajuwa maana ya ku poromoka
sort you out like a soldier
back to the playbook, like a coach and a quarterback
the play remain unpredictable but still on attack
acha paparara ukiwa mnyama ndo uta tawala
hili mbuga hali pendi lawama
n0body is safe
hopefully you havе said your grace
know how to stay in the race
till its timе for you to over take
process nilicho access
kabla sijaweka kwenye atlas
mdaa usipotee niweze kufika wapi napokwenda as fast
not quitting until we complete this task
akili ipo uchina
mwili hupo ufaransa
miguu ipo portugal, sorry i got to go
its amazing when you keep an eye on the view
while you are on the road
chorus
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
ndo mwawazo yanao endelea kweny hichi kichwa
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
ndo mawazo yanao endelea kwenye hichi kichwa
changu
verse 2
siachi hizi sifa zini pande kwenye kichwa
striker namba 9
kila saa natafuta kufunga goal, kwasababu ndo ajira
kazi nyingi zinafanika kwenye giza
hatumpi enough credits mpiga picha
napata uonjo
toka nilivyo kuwa mtoto
kujuwa thamani ya kusimama
juu ya huu udongo
we have enough fools
we have enough schools
but we are still breaking the rules
working hard trying to find the proper measurement of thus treasure
coming up from this ocean as a forgotten anchor
so many boats on this lake
you cant tell whose the real spender
good mathematician
everything i do
is solve problem, that’s a part of my contribution
Random Lyrics
- academy - meadow soprano lyrics
- lebxanon - see lyrics
- blckk - eighty proof lyrics
- anne wilson - mary, did you know? lyrics
- the clovers - in the morning time lyrics
- alleckz - careca do ano lyrics
- jaydii - idk lyrics
- ana bulnes, valeria bulnes, replay - lista d'attesa lyrics
- veel - vvs den lyrics
- luisa - jennifer lyrics