azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

iceboy - sir god lyrics

Loading...

sir god noma noma
kinoma noma
sir god noma noma
kinoma noma

eeeh
kukicha tunaakia dua
kisha tunakimbia jua
leo tukiangukia pua
kesho tuendelea piaaa

mungu anatubariki
tena anatubariki
hata kama cc hatumwoni
anatupa marafiki
wengine wanafiki
hata kama cc hatuwasomi..

maishakupanda eeeh
nakushuka eeh
kuna jana kuna sasa kuna badaee
hata tukipata heriii
tukikosa herii
kamba zote za tamaa tushazikataa eeeh

salute ziende kwa wanangu wote wale wanopambana
haijalishi vip ilimradi rizik anegawa maulana

maana ye ndio anatoa
ye anachukua
ye ndo mpishi
sisi tunaipua
yeye ndo unda
si tunaibua
baba muumba
blesss alluah

sir god noma noma
kinoma noma
oluah my load
noma noma
sir god noma noma
kinoma noma

chakwanza pumzi bure
tujiongeze shule
tutende mema
tuishi milele
tutende mema
tuishi buree ehh eehh
tuache kukamiana
kuvamiana
kujamiana fresh
kuzaliana eeehh eehh

tuache kubaniaana
kupaniana
kupandiana kesi
kubania

maishakupanda eeeh
nakushuka eeh
kuna jana kuna sasa kuna badaee
hata tukipata heriii
tukikosa herii
kamba zotе za tamaa tushazikataa eeeh

salute ziende kwa wanangu wotе wale wanopambana
haijalishi vip ilimrad rizik anegawa maulana

maana ye ndio anatoa
nando ye anachukua
ye ndo mpishi
sisi tunaipua
yeye ndo unda
si tunaibua
baba muumba
blesss alluah
sir god noma noma
kinoma noma
oluah my load
noma noma
sir god noma noma
kinoma noma



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...