idan raichel - maisha lyrics
peke yake na kusikia kwa mwezi
yatima alilia ndani kivuli
peke yake na kusikia kwa mwezi
maisha anasali kuopolewa
amezungukazunguka mbali sana
sasa hajui barabara ya kwake
dunia inajua hadithi yake
lakini nani ajua jina lake?
peke yake na kusikia kwa mwezi
yatima alilia ndani kivuli
peke yake na kusikia kwa mwezi
maisha anasali kuopolewa
amezungukazunguka mbali sana
sasa hajui barabara ya kwake
dunia inajua hadithi yake
lakini nani ajua jina lake?
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
urudi ili aweza kulala
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
naomba kwa maisha
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
urudi ili awezi kulala
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
naomba kwa maisha
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
urudi ili aweza kulala
mwezi, ukipo
urudi ili atafarijiwa
mwezi, ukipo
naomba kwa maisha
Random Lyrics
- poltergeist - still alive lyrics
- popa chubby - same old blues lyrics
- poodles - heaven's closing in lyrics
- pop group - we are all prostitutes lyrics
- poisonblack - buried alive lyrics
- pompeii - relative is relative lyrics
- pomplamoose - nature boy lyrics
- pop unknown - half of ninety lyrics
- polaris - the monster's loose lyrics
- po girl - poor girl lyrics