azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ilagosa wa ilagosa - sala zangu lyrics

Loading...

sala zangu lyrics

(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu

unisikie bwana, unikaribie leo)×2
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu

nilipokuwa kwenye shida ulinik+mbuka bwana
dunia iliponigeuka ukawa upande w+ngu
niliposhindwa na maisha ulikuwa upande w+ngu
dunia iliponigeuka ukawa upande w+ngu
maombi yangu yote bwana naleta mbele zako
na sala zangu zote natoa mbele zako

(unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu)×2

dunia yote ni yako bwana
wewe ndiwe muumbaji
tukimbie wapi kama wanadamu tuepuke mauti
ndipo nainua macho kuelekea bwana
msaada w+ngu wote leo watoka mbele zako

maombi yangu yote naleta mbele zako
na sala zangu zote naleta mbele zako

(sala zangu zote naelekeza kwako e mungu) ×2
unisikie bwana, unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu

(miguuni pake yesu
mimi nimejiachia
nifundishe nifinyange
kama vile upendavyo)×2

unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu
unisikie bwana unikaribie leo
sala zangu zote naelekeza kwako e mungu w+ngu

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...