azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

iriebaz - brejins lyrics

Loading...

[intro]
ohhhhh
lord
magw+ngi
s.w.m
yoh, hii ni story about my
hii ni
my fkn brejins
my bloodies, now you know

[verse 1]
hii ni story about my lil homies
ma morio mabazenga motherfkass
hii mtaa wanajulikana kuleta fruckers
brothers lakini si wa same bloodlines
bl++dy bros before hoes
mwaga tei ndani ya glass ndio ni toast
forever ma charjie till we die sio ku force
ni ku pendana for free haitu cost
kufa kupona with my brejins
wameniokolea vibaya tangu enzi
nikihandwa na coke na kwa pori bag ya sensi
ndani inda walinitoaga daily
one day me na my homies tuta make it
ku pedi hii mtaa tutasare tutawaseti
hadi ma njege wote itabaki wamemedi
mali ni safi sio record ya ma a.p
mhhhhh
[chorus]
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yooooh
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yooooh

[verse 2]
born to hustle kwa hizo streets
kuomokaa bila diploma ama degree
wakitiona mafala sahii tuna shine brightly
me na my homies tukiball
ma ganji
polite+ly
unruly
shout fk police subaru area iki land
tukiwa rada kwa streets
ndio hizo pingu zisi land
survival ndio tuone kesho in this world
me and my fkn buddies
myischievous stoner colleges
mwere hatuonyeshi mercy
hii ni mbogi ya wanati
mtaani tuki snadi ndani
warazi wanajazwa na worries
juu ya my fkn bloodies
zamisha nikuchafue dirty
heshima tunajenga all mighty
sio hao ma dummies
wapoa tunawa rank vi highly
mistari tatu washavua ma panti
[chorus]
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yooooh
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yoooh

[verse 3]
money can’t buy friends
but w+ngu unaweza hire na madre
moshi puff tatu washakuwa joh your friends
ukiwa cross hapo ndio buda utamess
south west motherfkz warui tangu tenee
o.c.s alituwekea rada juyaku pedisha ma dre
tuli kamua area maziwa yani tulipigisha sales
hadi tubambwe ngware hatuwezi dozia kwa cell
bloodies
amaru, spookie, irie kwa benz
ndio dream tulikuwa nayo kutoka huko dem dayz
broos to the end hadi tudedi sunset
mindset niya ganji maisha soft tuna chase
no face no case
luku diriba chafua na vest
toppa ya kitambo baze tuki ball best
tuki bond kushinda etoka ya james bond aki blaze
pah
pah
pah
pah
[chorus]
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yooooh
hii ni reba ya my brejins
vijana joh mauru makuseti
born to love those n+ggas can’t fake it
hii bond hadi cheda can’t break it
yohhh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...