
isaadmusic - nakuwazaga lyrics
Loading...
ukaribu mi na we
masiara yetu yaligeuka utani
kuwa nawe daily
ndio kitu niliwazaga
na imani tele
imenijaa ndani
kwamba sina mpinzani
kuwa nami wewe
ndio kitu hukutaga
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
ujue nakuzawaga
bado nakuwazaga
bado natakaga
wewe
sinaga na mbadala
sita mie ndio saba
wewe ndio nakutaka
wewe
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
bado nakuwazaga
Random Lyrics
- lil ass - fan lyrics
- suki (rapper) - tesómat ne vegyed szádra (kiadatlan) lyrics
- several splinters - too mean lyrics
- skyyouth - marlin (марлин) lyrics
- dúo ocampos vera y su conjunto los triunfadores - ndachesuértei niko che lyrics
- gabe goulart - you 2 lyrics
- elryc - let you rot lyrics
- razing - the blast processing song lyrics
- ka$hmoneykey - ghost lyrics
- hella savage - run ya mouth lyrics