issai ibungu feat. 20 percent - mama neema lyrics
baby crying…
nik+muona neema na muonea huruma
ananijua baba, hakujui mama na…
namshukuru mungu neema yusalama ah
ila ananipa machungu; “baba wapi mama?”
ananiuliza maswali mengi na makali
kila nikitafakari huwaga mi′nak+mbuka mbali
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
hivi mi nina nuksi gani?!
au mimi nina mkosi gani?!
au kuna kitu, kwa ndugu, jamaa, na majirani eyi?
naogopa kusema dhambi kwa maanani!
nilizaa kamwana vikashindikana
kama bahati bwana, nilikupata kimwanana
nikasema na tuzae watoto watusaidie baadae
ulilipokea kwa furaha, ulinifuata nikuk+mbatie
k+mbe wewe nakupa passport utangulie
ilipangwa wewe utangulie mwao abakiye
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
kila ninako kwenda neema yuko nyuma yangu mie
na mi’siwezi k+mtenga, kwani baba mie mama mie
mara acheke mara alie, neema mara anitanie
naomba mola amjalie na wazo la mama lisimjie
najua haiwezekani kwa kila aliye duniani
ana miaka k+mi kila siku mama yusafarini
na maswali ya kizushi “mama atarudi lini ih?”
na yak+mbuka mazishi minabaki na uzini
mimi nilie, au ninune?
hivi nini eeeh mimi nifanyee?
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
mama neema neema ulimuacha na siku nane eh!
hukuta+ kungoja ili neema wako anyonye eehh
20 percent, 20 percent, 20 percent
man water, man water, man water
mama neema neema ulimuacha…
hukuta+ kungoja ili neema…
mama neema neema ulimuacha…
hukuta+ kungoja ili neema…
Random Lyrics
- madsaint - foreva drunk lyrics
- edavārdi - kosmoss lyrics
- hasan azze - güz gömleği lyrics
- mr. mr. e - stay still (like a wooden doll) lyrics
- 25/17 - луна (электричество) (louna) lyrics
- wildstyle - stoop rap (film version) lyrics
- maluy - моя рука дрочила (snippet 16.03.23) lyrics
- permafroze - don't tread on me lyrics
- tedua - spoiler* lyrics
- rheda - mocro mafia lyrics