azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

issai ibungu - rangi ya chungwa lyrics

Loading...

najuta, ni kinda langu ni lenye rangi ya chungwa
maringo yake na mwendo vina nichosha, nachoka kabisa

kinacho nishinda+eh
nyumbani kwao wamezidia ukali
nifanye nini, ili wapate tulia nachoka kabisa

ooh usivunje ahadi uliyonihadi dada
poa kaka mimi ni bado msichana
tena bado sijamaliza masomo
nifanye nini kukuacha siwezie!

oooh!
nakonda+eh
nateswa+eh
nifanye nini mimi?

pole kaka kipenzi cha roho yangue
ahadi yetu haijaweza vunjika
fika nyumbani kwa wazazi w+ngue

ooh usivunje ahadi, uliyoniahidi dada
(poa kaka mimi ni bado msichana)
(tena bado sijamaliza masomo)
(nifanye nini kukuacha siwezie!)

oooh!
nakonda+eh
nateswa+eh
nifanye nini mimi?

wewe kaka kipenzi cha roho yangue
ahadi yetu haijaweza vunjika
fika nyumbani kwa wazazi waang′

sikia maneno!
sikia butamu!
sikia maneno!
sikia butamu!
maneno
maneno
maneno ya serengete
maneno
maneno
maneno ya serengete

sikia maneno!
sikia butamu!
sikia maneno!
sikia butamu!
maneno
maneno
maneno ya serengete
maneno
maneno
maneno ya serengete

ye, ye+ye
wo, uwo+wo!
ye, ye+ye
wo, uwo+wo!

ye, ye+ye
wo, uwo+wo! (ai+yoo)

chukua, chukua, chukua, chukua (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, (serengeti) chukua, chukua, (yote yako)
chukua, (serengeti) chukua, chukua, (yote yako)

vigelegele ndio furaha jamani eh+eh+eeh
butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh+eh+eeh
chereko chereko na mayowe jamani (ndio furaha) eh+eh+eeh
makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)

kutokea westeni
kwa uwingi, kwa uwingi
njoo uone (furaha) furaha

vigelegele ndio furaha jamani eh+eh+eeh
butamu wa ngoma nikushangilia jamani eh+eh+eeh
chereko chereko na mayowe jamani eh+eh+eeh
makofi mengi na vibwebwe jamani ndio furaha (tokea)

kutokea westeni
kwa uwingi, kwa uwingi
njoo uone (furaha) furaha

hehehee
sabosooo

chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)
chukua, chukua, chukua, (yote yako)

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...