azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

itsyng - tuachane lyrics

Loading...

[intro]
there’s you and i+i+i+i , yeah

[verse 1]
there’s you and i, what about us?
talked about love but what about us?
there’s too much doubt, not enough trust
whilst you were still playing games, girl that could have been us
but we’re still young, no need to rush
i don’t want stress, i just need your love, yeah
give me a reason, that’s enough
am i asking for too much?
things aren’t good, i’m a high wheeler
forget about the past? girl i wish i could
trust you again, i don’t think i should
trust me again, you don’t think you should
even though you had your doubts
i know we have some problem we should work it out
if you believe in us then we can work it out
but then agai+ai+ain

[chorus]
kwa nini una wivu sana?
labda tuachane
kila siku tunagombana, ahh
bora tuachane
sitaki kushindana
labda tuachane
hatupo tayari kupendana, ahh
bora tuachane, bora tuachane (+ee, +ee)
bora tuachane, bora tuachane
bora tuachane, bora tuachane
[verse 2]
sikiliza
bila wewe ni dunia giza
roho yangu inaumia (inaumia)
kama hunitaki sema kabisa (sema kabisa)
sema kabisa, kabla tumemaliza (kabla tumemaliza)
sema kabisa, kabla tumemalia
nataka uwe w+ngu, lakini sitaki kupoteza muda w+ngu
usiupoteze moyo w+ngu (w+ngu)
hutanipata tena nikienda zangu (zangu)
nikienda zangu, ahh sirudi tena
hutaniona tena
sirudi tena

[chorus]
kwa nini una wivu sana?
labda tuachane
kila siku tunagombana, ahh
bora tuachane
sitaki kushindana (sitaki)
labda tuachane
hatupo tayari kupendana, ahh (hatupo tayri)
bora tuachane, bora tuachane
bora tuachane, bora tuachane
bora tuachane, bora tuachane
bora tuachane, bora tuachane



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...