azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

j 93 - hello lyrics

Loading...

verse 1
natamani urudi tena kw#ngu
kama zamani uwe mpenzi w#ngu
na majirani wakuite mpenzi w#ngu
kwenye vitabu utumie jina langu
najuta kwanini nilikutesa
nilikupigapiga bila kosa
mbele ya mshosti zako nilikutosa
ulikuwa w#ngu sikukupa pesa
nakuacha ndani naenda bang na mademu no
ukinifumania ninazuga ni shetani no
unanisamehe kesho narudia tena no
ndugu zako wakasema nitakuua usepe no
aaah,tangu uondoke sina tena kazi
sina mchongo wanichora tu mapaparazi
rafiki zako wanasema umenipa radhi
muziki nao unayumba napoteza hadhi
nakuomba urudi mama watoto wee
nakuomba urudi siwezi mwenyewe
nakuomba urudi unipoze wee
nakuomba urudi nakupenda wee

chorus
me napiga simu haupokei
hata ukipokea hauongei
me nanyanyasika everyday
h#llo h#llo
me napiga simu haupokei
hata ukipokea hauongei
me nanyanyasika everyday
h#llo h#llo

verse 2
nak#mbuka ya zamani baby girl
me na wewe tu chumbani h#ll no
umeondoka kama utani umeniacha me gizani
upo wapi nakuita baby njoo
na mawazo me kichwani mwenzio
kila nikik#mbuka yani kilio
na machozi yanamwagika
leo najuta yamenikuta
upo wapi nakuita baby njoo
aah
mapenzi ya chumbani
nak#mbuka yote mpaka msosi wamezani
kabla sijasepa unanikiss shavuni
najuta yote niliotenda kutoka moyoni
aaah
peke yangu naongea
nilokula nao raha wote wametembea
niponipo peke yangu dira imepotea
rudi nyumbani baby girl siwezi vumilia

outro
yeah just come back home baby,you know i mis you right

chorus
me napiga simu haupokei
hata ukipokea hauongei
me nanyanyasika everyday
h#llo h#llo
me napiga simu haupokei
hata ukipokea hauongei
me nanyanyasika everyday
h#llo h#llo…



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...