j. drizzy - body lyrics
intro
eig47
stoner
verse 1
kama kawa ijumaa usiku nimechill bar
nko na washkaji tunapiga drink kadhaa
anapita huyu chick thick bonge bambataa
afu meza ya pembeni akaenda kukaa
machalii wakancheki na mi nikiwacheki
kila moja anamtaka ni muda wa kuovertake
n-z-di data nkiona stake inavostretch sketi
afu short inshort naona mpaka vya nyeti
bridge
the way i want u closer
bila wewe i don need no other
hawa wengne wanbother
hawa wengne hawana ladha ×2
chorus
body(repeatedly)
verse2
yuko anakunywa savannah na mabeste
nikamfuata mdogo mdogo haste haste
badaye badaye niko ninakula mate
na kama vp basi mi uber niite
akasema no lets drop kwenye floor
tudance kama vile kutakua no tomorrow
body to body hiyo booty anathrow
akaaga anaenda kwa choo sjamuona no more
took an l hoping datll bounce back
au labda kisa sina six pack
sivai designer anadhani mi ni whack
toka club nakuta nje amepark
anasmile nikizama kwa ndinga
ac tumechill baridi mafinga
ma finger zina linger ata lingerie ajatinga
chura kama snura kwa boxer -n-leta majanga
chorus
body(repeatedly)
oh yeah yeah wanaongea
body(repeatedly)
ooh yeah yeah keshapotea
outro
bottles poppin
something sippin
ain’t no tripping
low key pimping
ts u that i’m thinkin
i know u want me
ma zip unzippin
i want ur body tonight
chorus
Random Lyrics
- littledewy - aquafina lyrics
- f.l.o - sombre gobelin lyrics
- silver apples - gypsy love lyrics
- siempre asi - para toda la vida (directo) lyrics
- the wombats - 1996 - james njie remix lyrics
- reesemoneybagz - east side drillerz lyrics
- lil harper - bite down lyrics
- arafa-t kabir - broken lyrics
- kmichael - pitch black’s “it's all real” lyrics
- marg - i'mmortal lyrics