azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

j93 - unyama lyrics

Loading...

chorus (j93 and t+gwan)
kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnayama

verse 1 (j93)
nikiwa sipo unachonga unaongea
maneno unasambaza ya uongo na umbea
eti bila wewe mimi nisingetokea
wakati hata hujui wapi nilipotokea
hold on
haya nipo hapa ongea
kama upo fresh njoo mbele sogea
uso kwa uso tuweke battle on air
kwetu unyonge dhambi huko napotokea
jeshi peke yangu wala sitegemei tag
njoo na hilo tag nipo fresh hata sif+gi
nipo imara sana kama udongo wa buzwagi
nimezaliwa club huwezi teach me how to dug ,dug
weka hela weka jiwe la relini
kisha mapambano tuingie uwanjani
mwisho wa sikutuone nani atalamba chini??

chorus(j93 and t+gwan)
kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnayama
verse 2 (j93)
mbwembwe
punch zangu chembe
kali kama wembe
dona sio sembe
umelemaa mzembe
umeingia mkenge
wacha nikulengee
ah
uwezo bado sana bwana mdogo sana
round ya kwanza nimekutoa knock out mwana
kufika nilipo mimi piga tiz tiz sana
ulileta uchizi wakati mimi ndio chizi sana
kimya maana upo hoi mwana
pole huwezi hata kuinuka tena
kwenye mchezo huu mwenzako nina laana
uache kuongea kuhusu mimi tena
mshindi tena nipo vyema
nakuona huwezi mwana kuhema
k+mbe hujiwezi wee mtoto mama
nadhani umeona w+ngu unyama yeah

chorus(j93 and t+gwan)
kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnyama basi tuoneshane unyama
yeah kama wee mnayama



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...