jack muxy - moto lyrics
[intro]
we the real
“muxy”
[verse 1]
kwanza naanza na wasee w-ngu wa ghetto ka hujaskia ghetto life enda uskize hio ni moto
sauti yangu inaskika hadi central si nawabam ba sana adi wakadai video
naogopa mungu pekee ka nyashinski weka mikono zako juu ka unakubaliana na mimi
rhymes zangu huamsha adi maiti nikipanda stage lazima uamke ka uko kwa kiti
nawakujia tu kichinichini ju nkikam na juu mtadai ati ni kiki
mi si fan wa futa natambua tu ronaldo and about kapuka lazima nitaje sauti sol
[chorus]
hii ni moto, (hee)
kitu moto, (hee)
pigwa radi nanii staki utoto, (he he hee)
international,(hee) hii sio local (hee)
kahana kondo fuishi tu thothotho (agh agh)
hii ni moto, (hee)
kitu moto, (hee)
pigwa radi nanii staki utoto, (he he hee)
international,(hee) hii sio local (hee)
kahana kondo fuishi tu thothotho (agh agh)
[verse2]
nasaka cash buda na ka una deni yangu ujue bro mi nataka io doo
tag mtu yeyote ju hii ni yetu wote
hii ndio ile unaskia inaitwa street anthem
na kanabamba buda ju nmekabambisha na usilete beef maybe kafish kakiwa fried
siezi kupea job then nikushow you’re fired maybe nikupee -sset na nikushow usiwai hire
mi ni moto jo nawakanga adi kwa snow nikispit lazima ukubali huezi sema no
penda msee yeyote mwenye ako na damu ya red na usilete chuki bro utajipata h-ll eyy
[chorus]
hii ni moto, (hee)
kitu moto, (hee)
pigwa radi nanii staki utoto, (he he hee)
international,(hee) hii sio local (hee)
kahana kondo fuishi tu thothotho (agh agh)
hii ni moto, (hee)
kitu moto, (hee)
pigwa radi nanii staki utoto, (he he hee)
international,(hee) hii sio local (hee)
kahana kondo fuishi tu thothotho (agh agh)
[outro]
hii ni moto, (hee)
(hee)
(he he hee)
hii ni moto, (hee)
(hee)
(agh agh)
Random Lyrics
- yung russio - merken lyrics
- bloodred hourglass - the greatest time of change lyrics
- young haunt - i don't trust nobody lyrics
- k.a.a.n. - day by day lyrics
- 249toodope - alright lyrics
- nightbringer - inheritor of a dying world lyrics
- nydshe flow - mi madre, mi ángel lyrics
- brooke white - waiting on the stars lyrics
- vinicio capossela - non c'è disaccordo nel cielo lyrics
- 9tails - scissor hands lyrics