jambo squad - only you lyrics
[intro]
weh
mwaah!
hii, iih
watoto wa+
mwaah!
yere, uh, uh
may c
[chorus: maychedda]
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
[verse 1: ordinary]
nakupenda kwasababu
wewe ni baby kinyula
kweli dunia ina maajabu
mungu ameumba balaa (la)
unashikisha adabu [?] anakaa
hata uvae hijabu, huku nyuma aisee
mi ni kisali, we ni ngaksa’
time ndio hii tusipoteze masaa (saa)
twende kanisani shahidi wa kweli ni mungu (ni yeye)
usiulize kwanini nataka tufunge pingu
may to the chedda, hapa upo na mjeda
wanasemaga ni shida, aaah…!
kama ni gari usiogope mama
hata mimi na matairi nitakubeba kisanaa (na)
nikiwa mbali, nisubiri mama
nitakuletea zawadi nzuri kutoka dar (dar)
hao mashoga usiwajali mama
wengine sio wazuri hawapendi tuking’aa
[chorus: maychedda]
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda morе, woah, woah
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda morе, woah, woah
[verse 2: n+gga c]
yaow!
sinunui msosi ‘wako ndio mtamu
penzi letu lina umri yaani wa makamu
napenda kukuona ukitabasamu
shavu ka [?] n+gga, nalichum
ngarenaro ndio home
baby, welcome
unga limi’ ndio street
now si u+come
manzi ya ara’ unanibamba mbaya, ah k
kukusaliti naonaga haya
na ishi kwa amani na wifi lady fire
may c, mrs. n+gga c, mwaya
nakupenda moja, nakupenda mbili, nakupenda tatu, nakupenda nne
hiyo “i love you too” haitoshi mama
nakupenda moja, nakupenda mbili, nakupenda tatu, nakupenda nne
hiyo “i love you too” haitoshi, may c
[chorus: maychedda]
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
[verse 3: maychedda]
nimezimika (nimezimika)
upepo kwa mshumaa (mshumaa)
kichwani umenishika jamaa (jamaa)
si utani we ndio vazi nnalo vaa
maskani ya kukaa, moyoni umejaa (umejaa)
enhe, unanipa kizaazaa (kizaazaa)
nimegeuka tishio kwa mtaa (kwa mtaa)
wewe kw+ngu ndio nyota ya kung’aa (kung’aa)
enhe, umeniteka balaa
[hook: maychedda]
only you
to satisfy my soul
baby mi napenda jinsi unanipenda
naahidi kupenda
only you
to satisfy my soul
baby mi napenda jinsi unanipenda
naahidi kupenda more
[chorus: maychedda]
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
only you
to satisfy my soul, woah, woah, woah
baby mi napenda jinsi unanipenda (mwaah!)
naahidi kupenda more, woah, woah
yeah
Random Lyrics
- okaycoso - dissgacha frstyl lyrics
- a.i jose gonzalez - nerdy girl lyrics
- brinnin - confessions lyrics
- andreichalupnik24k - painters and artists lyrics
- brayd0n - ms. michael myers lyrics
- newport (aus) - dyslexic lyrics
- yendri - dead people (online bonus track) lyrics
- antihero [ita] - changes lyrics
- caidan - loyal to the game (remix) lyrics
- nitronoise - killer fuelled machine (xp8 remix) lyrics