jay melody - 18 lyrics
[intro]
mr. lg
[verse 1]
nilipanga nitapenda
nikifika miaka ishirini
hivi sasa k+mi na nane
sijui nimepatwa nini
kuna mtu nampenda, lakini sijiamini
sio kama najua sana, kwamba mapenzi ni nini
[hook 1]
ananitoa, kwenye malengo
sikupanga kuingia, kwenye ma upendo
ananitoa, kwenye malengo
vitu vyake navutiwa kila angle
oh, mimi
[pre+chorus]
tafadhali
moyo w+ngu
haya mapenzi dhahabu
tafadhali kweli
moyo w+ngu
haya mapenzi yako dhahabu
ah, eh…
[hook 2]
oh, lolo, lolo, lolo
oh, lolo, lolo, lolo
[verse 2]
bado najiuliza kama, ana hisi nnavyo hisi
ila najua, kuwa hivyo sio rahisi
na mi mgeni wa mapenzi
isije, nikaitiwa polisi
nikaumbuka, nikachukia mapenzi
penzi oh penzi oh
usiniumbue mwenzio
nikaanza na kilio, eti ndio kiingilio
[chorus]
ananitoa, kwenye malengo
sikupanga kuingia, kwenye ma upendo
ananitoa, kwenye malengo
vitu vyake navutiwa kila angle
oh, mimi
[post+ chorus]
tafadhali, (we tafa)
moyo w+ngu (we moyo)
haya mapеnzi dhahabu (tafa we)
tafadhali kweli
moyo w+ngu (huu moyo)
haya mapenzi yako dhahabu
ooh, lolo
mmm
dhahabu, oh, oh
mmm, dhahabu
[outro]
oncе again
Random Lyrics
- antihero [ita] - i see the light coming lyrics
- mayflower - part of me lyrics
- leonie evans - thanks lyrics
- jane remover - claws (jane remover remix) lyrics
- catbino - proletariat lyrics
- johnny marr - a woman like you lyrics
- zaichkovskii - чикатило (chikatilo) lyrics
- antenna (band) - 10-4 lyrics
- askari abdul-haqq ahad - draw lyrics
- made (can) - smudge lyrics