azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - ankali lyrics

Loading...

[intro]
gin x double 6
jay once again
again
again

[pre+chorus]
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa

[chorus]
nipe tena
usela usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jelaa
usela ooh usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jelaa

[verse 1]
ankali unanin, ankali umewaka
ankali umeshindwa kujua mbwa na paka
bila sababu unataka tu kukuwasha
umelata ugomvi wazee wanakusaka
[pre+chorus]
sa usitake tukwazane
tukikutana tupishane njia
usitake tupasuane
mi nishavuka huko nakwambia
usela ulikuwa zamani ujue
sikuhizi watu wametulia
kuna watu wana hasira ujue
jichangaje kidogo unaumia
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa

[chorus]
nipe tena
usela usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jelaa
usеla ooh usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jеlaa

[bridge]
unaleta utoto kama huja balee
unaleta utoto kama sio mzee
unaleta utoto kama huja balee
asee awee
[verse 2]
kuna miziki usiingie katu katu
utapigwa unywe dozi mara tatu
aya sikiliza kuna watu wana roho za chatu
mpaka ugoko masela wanafulia dafu
na bichwa lako hata uelewi
ukielekezwa huelekezeki
issue sio issue unaleta mtiti
hujui maisha we pigo zako vipi

[pre+chorus]
sa usitake tukwazane
tukikutana tupishane njia
usitake tupasuane
mi nishavuka huko nakwambia
usela ulikuwa zamani ujue
sikuhizi watu wametulia
kuna watu wana hasira ujue
jichangaje kidogo unaumia
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa
unajifanya chizi umechanganyikiwa
wakati mtoto kwenu chai maziwa

[chorus]
nipe tena
usela usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jelaa
usela ooh usela noma
usela ukizidi sana
ndugu yangu utakwenda jelaa
[bridge]
unaleta utoto kama huja balee
unaleta utoto kama sio mzee
unaleta utoto kama huja balee
asee awee



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...