jay melody - baridi lyrics
hii kitu kutoka sio rahisi
hata kuzama pia sio rahisi
nahisi nimekolezana
kweli hivi sio kawaida maana wewe
unaachia mwanya umeniteka umenivaa
oooh……
ndoto zangu toka zamani kulata mtu
kama weeee nilale lale kifuani kichwani anitawale
ndoto zangu toka zamani nipate
mtu kama wew atae nipa burudani
hivi….
(oooh babe
hunnie
naskia baridi mimi) +4
………………………………… oye oyoyoyo
nahapa nilipo nipo kilelen
kama kilimanjaro napenda unavyonipa vitu laini
nachizika na ulipo nayo
me kuwa nawe naskia raha
kukupata naskia raha …..
siunajuw unavyo nikuna
usiniache nitakesha bar
aaaaaaaaaah
ndoto zangu toka zamani nipate mtu kama wew nilale lale kifuani kichwani anitawale ……
ndoto zangu toka zamani nipate mtu kama wew atae nipa burudani mmmmmh
hivi…..
ooh babe ……aaah
hunnie ….eeeh
naskia baridi mimi
( .oooooh babe
…………. hunnie
naskia baridi mimi )+2
uuuuh laah…….
Random Lyrics
- leon (srb) - extazi lyrics
- proxoxie - no sleep lyrics
- dead fish - criança versus criança lyrics
- drinks on me - grateful lyrics
- vanina jara - ferragamo lyrics
- los gaiteros de san jacinto - fuego de cumbia (cumbia fire) lyrics
- raretet, ultraswagga - destroy lonely 2 lyrics
- lucy mayhem - save me lyrics
- fabvl - shibuya arc lyrics
- luvchi ! - 3 stars lyrics