azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - diamond lyrics

Loading...

[intro]
jini x66
jay once again, mh

[verse 1]
kuidhulumu nafsi, sitaki
penzi la ukakasi, sitaki
mi najuwa mnaupendo wa dhati
sa kwanini niingie kati?
mioyo yenu ipeni nafasi
mnywe kwa uhuru sharubati
penzi lisiwe la hisabati
mpaka muwashangaze umati, yo

[chorus]
apendapo maulana
basi na mimi, nipate wa kushibana
halafu nyinyi, cheki mnavyo pendana
si kwa matendo, kwa ishara tunaona
ah, penzi lenu liwe kisima cha upendo
oh, lolo
liwe ‘like shine like a diamond
w+nga wakae mbali
liwe kisima cha upendo
oh, lolo
liwe ’like shine like a diamond
diamond
(instrumentals)

[bridge]
ah, ah…
oh, oh, oh…
ah…

[verse 2]
mapenzi sio ya kulazimishana
wanaopendana kuwa achanisha ni laana
angalia macho yao, mazuri yanavyo fanana
na watu wasio pendana, utawapata wakishindana
yapo kama maua
kuna muda yatachanua
mtashindwa kutambua, wapi linapiga jua
mapenzi kitumbua, mchanga msije tia
waacheni wamekuwa, sisi tuombe dua, ah+ah
ah, ah

[chorus]
apendapo maulana
basi na mimi, nipate wa kushibana
halafu nyinyi, cheki mnavyo pеndana
si kwa matendo, kwa ishara tunaona
ah, penzi lenu liwе kisima cha upendo
oh, lolo
liwe ‘like shine like a diamond
w+nga wakae mbali
liwe kisima cha upendo
oh, lolo
liwe ‘like shine like a diamond
diamond
[outro]
oh
diamond
diamond

music



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...