azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - nahodha lyrics

Loading...

[intro]
ah, ah, ah
ah, ah, ah
ah, ah, ah
jini x66

[verse 1]
taharuki ndani, k+mefifia
mizozo balaa, aibu, kulia
sio kawaida, tumesikia
nahodha wa meli, eti kukaa nyuma
oh, oh+oh
husda imemnyima
oh, oh+oh
barafu kwenye mtima
oh, oh+oh
asikilizwi [?]
oh, oh+oh
na ye mtu mzima

[pre+chorus]
kwani yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
chombo kinazama
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
cha kwenda mrama
[chorus]
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
chombo kinazama
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
cha kwenda mrama

[verse 2]
na siri za ndani, kuhadithia
shoga katamani, jamvi kukalia
udugu, amani, ‘tulifikia
hisia chomboni, mwishowe twazamia

[bridge]
oh, oh
kabla ya kupenda, pima
oh, oh
wapenda kwa akili nzima
oh, oh
usiwe mchimba kisima
oh, oh
ukatumbukia mazima

[pre+chorus]
kwani yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
chombo kinazama
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
cha kwenda mrama
[chorus]
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
chombo kinazama
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
yu wapi nahodha?
cha kwenda mrama

[instrumentals]

music



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...