jay melody - raha tele lyrics
ah, aahh, ayayaya
mpaka raha
unavyoonesha maajab
unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab
madhara ukivifuata vibabu
ukatae tembele uchague nyama unieke roho juu
hatari sana
mtoto kulbaiya
unavyonipa umoto
hatari ukinibania
unainjoi sana michezo ya kukutania
na chai tule ukoko
usiku wali bamia
mapenzi yetu mi na wewe
raha tele, (ayaya)
raha tele, (ayayaya)
raha tele, (ayaya)
raha tele
mapenzi yetu mi na wewe
raha tele, na kisura
raha tele, (ayaya)
raha tele, (oh ooh)
raha tele
mapenzi yetu mi na wewe
(ouuh)
nijuze
nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh)
nieleze mama
nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa
(aah)
ruksa kunifanya chambo
wakikuzingua nikapambane
nikulinde kama mgambo
ili mashorobalo wasikuone
koleza mama
koleza n+z+ kwa mchele
isambaga tuwaachie wenyewe
koleza darlin
koleza n+z+ kwa mchele
isambaga tuwaachie wenyewe
raha tele, (ayaya)
raha tele, (ayayaya)
raha tele, (ayaya)
raha tele
mapenzi yetu mi na wewe
raha tele, na kisura
raha tele, (ayaya)
raha tele, (oh ooh)
raha tele
mapenzi yetu mi na wewe
raha tele
nasikia raha, raha tele
nasikia furaha, raha tele
kuwa na wewe, raha tele
naona raha, raha tele
oh babe mama, raha tele
nakupenda sana, raha tele
raha tele, raha tele
raha telee
Random Lyrics
- alkinoos ioannidis - σπασμένο (spasmeno) lyrics
- team0xxxa - base jump lyrics
- skjóða grýludóttir - ætla að verða jólasveinn (karókí) lyrics
- yvncc - chucky so yucky lyrics
- kmfdm - airhead lyrics
- original cast of hope despair musical - happen lyrics
- the bats - when the day comes lyrics
- losey - shu shu lyrics
- ferdi tayfur - inadı bırak lyrics
- vicarious - false alarm lyrics