jay melody - samba loketo lyrics
olala
mr. lg
oh! oh! ananipa changamoto kila muda namuazia ooh
hadi nakua ka mtoto ninavyo pelekwa nakuambia ooh
penzi lina nichanganya sweet anawasha moto
ikokipigo mkongoto punguza kasi naumia
ah! ah! oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
nipe ya kapera ya utamu wa embe embe (embe)
oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
samba loketo
samba loketo
samba loketo
samba loketo
kaniminya kaniminya kanibana kanichota mzima eeh
kichwani minajaa mawenge anauchezesha mtima
mwenzako napenda vibaya sijakupenda bahati mbaya
nadata nakoma na haya unanifanya kitu mbaya yaiya yaiya yaiya yaiya
oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
nipe ya kapеra ya utamu wa embe embе (embe)
oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
samba loketo
samba loketo
samba loketo
samba loketo
Random Lyrics
- tchelo gomez - satisfação lyrics
- gruff rhys - peace signs lyrics
- eagle (no-r) - frații năjghioabă lyrics
- schnuffel - dubidubi du lyrics
- arijit singh & rupali moghe - atak gaya (arijit singh) lyrics
- łoniak - czemu ja? lyrics
- hzino - figures lyrics
- ramin hosseinpour - crazy (majnoon) lyrics
- john lithgow - you gotta have skin lyrics
- rockit music - wide awake lyrics