azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jcb watengwa - kaa mbali na kamba lyrics

Loading...

[intro]
(kichakani)
yeah
oh real talk
yeah
hey

[verse 1: j.c.b.]
siku moja nitaamka mapema ‘siku moja sitaamka tena
siku moja nitatoa hoja ‘siku moja nitaonekana kihoja
nimekata ringi, nikiwa dingi
bado nipo kwenye kiringi, natapatapa kwenye wimbi
maskani tena sitimbi ‘sababu sina masimbi
siendi kwa bibi sababu amekufa
siendi kwa mangi sababu amefunga duka
jirani anashindwa nik+mbuka jinsi nilivyo chaf+ka, nilivyo pauka ‘kama nimefuf+ka
nikiwak+mbuka marafiki hawapokei simu wanasema nina dhiki
sina ramani, sina riziki, sina amani ‘toka last week
sijagusa kijiti ‘true story, sitafuti kiki

[chorus]
j+po una kwenda muda
mi na imani
j+po vinakuja
mpaka kuna kucha mi sinto kana imani
[verse 2]
na kaa mbali na sumu, na kaa mbali na kamba
sitaki kujihuk+mu kufa au kudanja
maisha ya chuga au kiwanja ‘kuzuga kiranja
mama anasema “skiliza mwana, umri umekwenda sana
uko single haupo tena na mama, mtoto umemuacha mbali sana, una lipi la kufanya?
kama studio tupe albamu bana ‘hebu pambana wacha kuchoma nyasi sana
jua litazama bado umesimama nikikutazama umechoka kuliko jana
kesho siutashika panga, mwana?
maisha ni kujipanga bwana, usimsahau yesu ‘nakutoa sadaka sana”

(?)

[chorus]
j+po una kwenda muda
mi na (?) imani
j+po vina(?) fedha
mpaka kuna kucha mi sinto kana imani
(?)

[outro]
real talk
real talk
issa real talk
hey
oh…
mmmh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...