azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jeshii gangs - all about you (feat. mk king cross & kisubi star) lyrics

Loading...

mk king cross yeah kisubi star
all about you is wonderful
ta ta ta ta

ta ta ta ta ta yeah…

k+mekucha k+mekucha asubui mommy
fanya uji andae tuende kanisani
ni mengi yalio pita mwaka uho ulio pita
kuna wengi tulio wapoteza wa pendwa

safari hilikuwa ndefu mwanzo mwisho
ni wengi tulio hanza nao safari
hawakuweza himaliza kwasababu wali pendwa sana na mungu wao wa mbinguni

amen amen ni mengi halio wa handalia uko mbinguni kwao paradizoni
amen ni mengi halio wa handalia uko mbinguni kwao paradizoni
amen all about you all about you all about you is amazing
all about you all about you all about you is beautiful

mpende mungu wako kwa moyo wako wote kwa akili zako zote ni mengi anayo kwako mwanadamu

mpende mungu wako kwa moyo wako wote kwa akili zako zote ni mengi anayo kwako mwanadamu

anakupenda akakulinda halikujali kwanini umusahau mwanadamu
anakupenda akakulinda halikujali kwanini umusahau mwanadamu

k+mbuka maisha ni marefu unaweza kujua ya leo
ya kesho ayajuaye mungu baba

k+mbuka maisha ni marefu unaweza kujua ya leo
ya kesho ayajuaye mungu baba

all about you all about you all about you is amazing
all about you all about you all about you is beautiful

all about you all about you all about you is wonderful
all about you all about you all about you is amazing all about you

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...