jesse jeezus - tofauti lyrics
chorus p virus) attu
hatufanani man since day one
tupo tofauti we unagun mi naburn
hatuendani man kwetu vita kwenu man
mpo ruff road si tupo zetu angani
tupo to to tofauti
tupo to to tofauti sana
tupo to to tofauti
tupo to yo tofauti sana
verse 1 jesse jeezus
tupo tofauti na kamwe hatufanani..
stimu zetu tofauti kama fegi na mjani..
unamuweka dp si tunamuweka kitandani..
namba unayonyimwa leo si tushafuta zamani…
tupo tofauti sister tofauti bro…
kwenu umerithi vingi si ni jina tu la ukoo…
ukimcheki yupo bize anasema mcheki later…
mi tunabonga kichizi simu anabana kwenye bega…
tuko tofauti don’t dare kukucompare..
club we mwendo wa lite si hennesy na bellaire
dunia ipo fair ila ishu tupo differ…
zawadi ya nguo unampa si tunakuja mpa sifa
tuko tofauti tunawin unapoloose..
unabebwa na connection si tunabebwa na ujuzi…
kinachokunyima usingizi kwao ni upuuzi..
mme kwako ila kwa mashosti ni buzi..
chorus p virus & attu
hatufanani man since day one
tupo tofauti we unagun mi naburn
hatuendani man kwetu vita kwenu man
mpo ruff road si tupo zetu angani
tupo to to tofauti
tupo to to tofauti sana
tupo to to tofauti
tupo to yo tofauti sana
verse 2 jesse jeezus
sina mwana kabisa na bado naishi fine..
tofauti na rapcha anawanae 99…
unapeleka zawadi k+mdekeza ka mtoto…
mi ndo ananiita dady napeleka tu moto..
wenzio wanafight we hung’ai mpaka udange….
sio fundi kwako kwetu mpaka kwa mpalange…
unachuki we adui hufai katu…
si tuko peace tuna love afu tunawatu…
tupo tofauti hatufanani ata ukiiga…
malaya kw+ngu we ata iwaje huwezi piga…
pisi unazo kibao si wala hatuf+gilii…
unachokifanya leo si tayari tbt…
umeenda na gari za njano mpaka class..
si miguu ndo ilkuwa school bus..
kwenu daily uling’aa si mpaka siku za matukioo…
unachokifata kwa mchepuko nakipata kwa mkeo..
chorus p virus & attu
hatufanani man since day one
tupo tofauti we unagun mi naburn
hatuendani man kwetu vita kwenu man
mpo ruff road si tupo zetu angani
tupo to to tofauti
tupo to to tofauti sana
tupo to to tofauti
tupo to yo tofauti sana
Random Lyrics
- mc lele jp - ninguém ofusca lyrics
- n8noface - hate me when i'm high lyrics
- ryt path - be mine lyrics
- combust - struggle inside lyrics
- kepler - la fête* lyrics
- trond granlund - vaterlands bru lyrics
- elnarə xəlilova - yaddaş lyrics
- tara nome doyle - leeches ii lyrics
- jxhn pvul & nic d - heart prep lyrics
- odeal - coffee (don't read signs) lyrics