jesus the rebirth - instant karma lyrics
intro
i go by the name of jesus
verse
mi nina rizki’ zangu we unarizki’ zako
siwezi kuacha kw+ngu nikafix kwako
b+tch you can’t spell success, nipsey hussle
mi ndio baba ako, so hakuna ubishi hapo
nakinukisha bongo mpaka burkina faso
mi nina vyangu sishoboki na vyako
j+po sina kitu ila nilianza kuishi ile kibosi kitambo
natema ngeli ‘ka nimeshuka na boti la ng’ambo
sina wasiwasi, nimechill yeah
kwenye wheelchair, cause i’m ill yeah
and i’m still here when you still there
when you still crying and babysitted ka mtoto
mi niko napasha damu joto
nawapakata ‘ka mtoto, halafu nawapaka kwa usongo
hawa masela mavi mtaani ndio wanapakaza uongo
wanakesha wakisnitch, ndio wanachoma ramani
wamegeuka ‘ka walinzi so wanatoa mbwa bandani
wanabomoa maskani, halafu wanajenga mitaani
niko serious ila watoto wadogo w+n+leta utani
nilipotoka ni mbali baba ngumu kubaa
iwe trap beat, kapuka ama boom kubaa
mjomba usinitishie amani naijua magna carta
na sio mpepe tu, mi mpaka maji nakata
so nikivurugwa nalipua bomu nisettle
vya kwеnu mkiweka public si ni confidencial
vitu mnafanya for money, si tunafanya for lеisure
ki international, ila nyie mtabaki wa kanda forever
huku wazee wakutunza peace ndo’ sisi
na hizo pisi zenu kwetu si ni piece of sh+t
wote zinjathropaz, chimpanzee
kwenu wako expensive ila kwetu mbona cheap mazee
kwanza seat back homie relax, in fact grab a six+pack, kick back while i kick facts
mzee utauwawa
hapa uko ndani ya k+mi na nane na ushaunawa
halafu k+mbe kipa katoka ushapagawa
yaani kalinye kalinye oi oi kama saigon
nakalisha matembo homeboy ni kama tyson
wahuni wananiita mtemi kabaka, nyungu ya mawe
chokoza watoto wa mtaa ili uone nguvu ya mawe
ile kinjekitile, kinjekitile, kinjekitile ngwale
kama unamavi mwanangu kichaka kile pale
sio unanichanganyia habari na hayo maskolo mbwinyo
infact sio kuchana tu hata na mkono nimo
the southpaw master, hardcore haswa
babu usilete mapepe na usnitch nitakubaka
si maskani ndio mkaka, halafu mitaani ndio ma’ mongster
we siunajifanya bishoo? mi ndio bishoo haswa
eti boss kubwa, nyie mnaongelea mabosi gani
mi ndio baniani mbaya kiatu changu air force one
we dogo usibonge sana, huna stamara wa jada
huku ni mwiko kama mtoto kuujua mshahara wa baba
kuhusu uwezo bado sana, nenda kajipange
ila ‘ka imekuuma ch0m+a ukimbie au ikate vipande pande
the show goes on, lupe fiasco
kw+ngu sahau kuhusu heshima je nikupe ni yako
kwanza naona watoto wa siku hizi zinaa inavyowatesa
usiringe unademu kisu, mjini silaha pesa
kwanza kwenye ulimwengu w+ngu we ni galasa wallah
eti unapambanisha madrid na galatasaray
unajifanya boss wakati mapato kwa mwaka laki
na nyie ndio watoto mnaojifanyaga mapatorankin
kuvuta bangi moja tu eti buffalo soldier
hao unaojidai wahuni hujashtuka ndio waoga
mi mtandao mkubwa, uwezo wako bado mc
vocal ya mb dog, uwezo wako ni wa bando mc
na hao mademu zenu ni ‘ka vipande vya keki nawatafuna
sasa ntakulaje kwa macho wakati ukweli una uma
kwanza we na demu w+ngu naona ‘ka wote wasichana
sinaskia juzi mlikutana ana kwa ana
na kuna kitu nimegundua after all these years
kuna maisha baada ya muziki and after all these yeaaahs
kelele za mashabiki zitakuongezea cv
ila maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye tv
Random Lyrics
- edwin elijah diaz - city boy lyrics
- kevado - berserker lyrics
- thomas cvd - disque de tatooine lyrics
- r3frence - shimmer lyrics
- whapperx - playin' lyrics
- ynkeumalice - eggs lyrics
- dylan marlowe - shop radio lyrics
- marian carmel - crush on my ex lyrics
- muddy monk - aare melo lyrics
- fresku - buiten bereik lyrics