jeune premiersilambien - wema wako lyrics
sina ofu na shaka maana najuwa mungu upo
kama ulivyo mlinda danieli katika lile pango la simba
namimi najuwa bwana utanitetea
katika maisha yangu yahunyonge wa hapa duniani nihokowe baba na aduhi zangu zote
wanaho winda nafsi yangu baba mimi nahomba unihokowe ohh wema
wema wako wa ajabu kw+ngu
ulinzi wako wanitosha mimi
ukuhu wako wa ajabu kw+ngu
sito acha kuku abudu bwana wewe ndo tegemeho langu
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w+ngu mimi
eshima na mamlaka nizako elohim
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w+ngu mimi
aduhi waj+po jipanga aah
kupigana nami
gongo lako nafimbo yako vyani ongoza mimi
maana najuwa we ndo mlinzi w+ngu
sina shaka sina woga najuwa neema yako iko juu yangu
ohhh wema
wema wako wa ajabu kw+ngu
ulinzi wako wanitosha mimi
ukuhu wako wa ajabu kw+ngu
sito acha kuku abudu bwana wewe ndo tegemeho langu
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w+ngu mimi
eshima na mamlaka nizako elohim
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w+ngu mimi
Random Lyrics
- esther rose - my favorite mistake lyrics
- ashley mcbryde - voodoo doll lyrics
- fodastic brenfers - bolso secreto lyrics
- punkstar - pretty little pistol lyrics
- bryan scary - all their eyes were gone lyrics
- running on everything - come and go lyrics
- crescentdoll - just for me lyrics
- jo$h xo - don't make me lyrics
- black atlass - never enough lyrics
- dr. creep - pandemic lyrics