azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

joan mutugi - najua lyrics

Loading...

intro
uuuu….
ohohoh..
ohohoh….

wewe ni mungu
hakuna kama wewe bwana

chorus
[najua wewe ni mungu
najua watenda makuu
najua wewe ni mungu
najua watenda makuu] x2

verse 1
wengine hujigamba kwa magari ya vita
wengine kwa farasi wao
lakini sisi twajivunia mungu wetu maana yeye atenda makuu

chorus
[najua wewe ni mungu
najua watendamakuu
najua wewe ni mungu
najua watenda makuu] x2

verse 2
mawazo yako sio kama yetu
na njia zako kama zetu
njinsi mbingu ilivyo mbali na dunia
ndivyo mawazo yako yalivyo kwetu

chorus
[najua wewe ni mungu
najua watendamakuu
najua wewe ni mungu
najua watenda makuu] x2

outro
najua wewe ni mungu
najua watendamakuu

[end]



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...