joe iron - johara lyrics
[pre chorus]
naenda na sitarudi
nachoshwa na hii suati
naomba usinihoji
sioni yakuripoti
naenda na sitarudi
nachoshwa na hii suati
naomba usinihoji
sioni yakuripoti
[hook]
johora
nataka kwenda
johora
nifungue aki
johora
nataka kuenda
johora
johora
johora
nataka kwenda
johora
nifungue aki
johora
nataka kuenda
johora
johora
johora
johara
johara
johara
johara
johara
johara
johara
[pre chorus]
naenda na sitarudi
nachoshwa na hii suati
naomba usinihoji
sioni yakuripoti
naenda na sitarudi
nachoshwa na hii suati
naomba usinihoji
sioni yakuripoti
[verse]
dige hotwo na ihenya
ria kuriunga riunga
erai adu anyu nie dire wanyu
dige hotwo na ihenya
ria kuriunga riunga
erai adu anyu nie dire wanyu
[hook]
johora
nataka kwenda
johora
nifungue aki
johora
nataka kuenda
johora
johora
johora
nataka kwenda
johora
nifungue aki
johora
nataka kuenda
johora
johora
johora
[verse]
kanzu ya kuazima
haisitiri makalio
usinifinyie jicho
hapa hatuna vitisho
kosa sio kosa
kosa ni kurudia
usije kunililia kwani ulirudia
[pre chorus]
naenda na sitarudi
nachoshwa na hii suati
naomba usinihoji
sioni yakuripoti
[outro]
johora
johora
johora
johora
Random Lyrics
- ynys - caneuon lyrics
- lil j hollywood - dub me lyrics
- the real benny - please, don't die today lyrics
- mc trans - eu não sou obrigada a nada lyrics
- riley baby & candy flip boy - globoys lyrics
- thuy - u should feel special lyrics
- lil vix - staytrutrippyiaint lyrics
- ar4iks - lot of weapons lyrics
- 3mxk - rich is gangsta lyrics
- riana nel - meer as 'n vriend lyrics