azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

joe iron - sio mimi lyrics

Loading...

yaaaa iyele
yaaaa yaba
yaaaa iyele
yaaaa yaba

nimechoka na
kudanyangwa
nimeona we
ushajichanga
umejifanya we
ndiye mhanga
tafakari unayoya fanya

je
je
nije nikupe
yakusepa uwe yule
mwenye vidonge vile
vinavyo changanya ndume

sio sio sio sio mimi
dige geria gugu te gugute
sio sio sio sio mimi
nilazima nikupende wewe
sio sio sio sio mimi
dige geria gugu te gugute
sio sio sio sio mimi
nikubalishe
wewe akinukuonyehse
aki
aki
aki
aki
akinukuonyeshe
aki
aki
aki
aki
aki
akinukuonyeshe
uko special
uko special
uko special
uko special
aki
aki
aki
aki
aki
akinukuonyeshe
yaaaa iyele
yaaaa yaba
yaaaa iyele
yaaaa yaba
sijachoka na wewe
ukanapotential
mingi tuseme
nataka unielewe
wakikucheki wanaskia
k+meza wembe
kwanini wanakwonea wizu
kiitisha maji
heri waitie sumu
oh yeah
sio maajabu
wakikukana hata
bila vijisababu
je
je
nije nikupe
yakusepa uwe yule
mwenye vidonge vile
vinavyo changanya ndume
je
je
nije nikupe
yakusepa uwe yule
mwenye vidonge vile
vinavyo changanya ndume
sio sio sio sio mimi
dige geria gugu te gugute
sio sio sio sio mimi
nilazima nikupende wewe
sio sio sio sio mimi
dige geria gugu te gugute
sio sio sio sio mimi
nikubalishe
wewe akinukuonyehse
sio sio sio sio mimi
dige geria gugu te gugute
sio sio sio sio mimi
nilazima nikupende wewe



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...