joel ngito - safari lyrics
chorus
bado sijafika pale
safari ni ndefu kw-ngu
bado sijafika pale
taratibu mwendo kw-ngu
sisikize wale
wana nia kukuzamisha
kaza mwendo wako aaeh
aaeh aaeh aah aah aaaah
verse 1
shukrani zangu kwa walo kando yangu
walo nipa motisha vitu kw-ngu j-po baya
tenda wema kisha nenda nenda zako
fanya kazi utavuna upandacho
moyo w-ngu kapenda dawa kupa nyi muziki
j-po zuri baya kw-ngu hii ni safari yeah yeah
macho yangu mbele kando mi siangili
nachapa kazi mie muziki kw-ngu ni baraka
chorus
bado sijafika pale
safari ni ndefu kw-ngu
bado sijafika pale
taratibu mwendo kw-ngu
sisikize wale
wana nia kukuzamisha
kaza mwendo wako aaeh
aaeh aaeh aah aah aaaah
matunda matamu huja kwa bidii yako
panda shuka ni kawa… kawaida ya safari
sife moyo aaah asubuhi itafika
usiku mrefu mwishowe jua litawaka
vijana vitabu vichambueni shuleni
uongozi mwema huja kwa hekima
sife moyo aah asubuhi itafika
chochote ufanyacho weka mola mungu baba
chorus
bado sijafika pale
safari ni ndefu kw-ngu
bado sijafika pale
taratibu mwendo kw-ngu
sisikize wale
wana nia kukuzamisha
kaza mwendo wako aaeh
aaeh aaeh aah aah aaaah
verse 3 {banembe jeremie}
i keep my eyes on the prize yeah
never losing psyche never losing focus yeah
nakazana
ata jua uleta mvua wacha iwake tu iwake
lakini kesho itakuwa sawa sawa sawa leleee yeah yeah
ten thousand hours never letting go
never giving up you’re too close to the finish line
kaza mwendo (kazana) kazana kazana
kaza mwendo wako kazana kazana
chorus
bado sijafika pale
safari ni ndefu kw-ngu
bado sijafika pale
taratibu mwendo kw-ngu
sisikize wale
wana nia kukuzamisha
kaza mwendo wako aaeh
aaeh aaeh aah aah aaaah
Random Lyrics
- boondi - krusty klown lyrics
- rell riley - trying lyrics
- profit_the - smoky (unprivate) lyrics
- anoyd - tears echo lyrics
- bignik - gucci gang remix lyrics
- king's singers - oak and the ash lyrics
- bff girls - estoy aquí lyrics
- young multi - plan lyrics
- galaxy goats - stoopid (minecraft parody) lyrics
- kabouter plop - het spook lyrics