johnny vigeti - buddha rangi lyrics
si unajua mambo, works nini? hee eeh!
ha ha ha! kweli man!
(verse i)
naitangwa johnny!
homie, malaya kamwe si-mtombi! kweli man!
kombi mishipa nje ya ma-poni okay okay!
huni machiza malazwa hosii kama kawa!
si-poni wengine bila hata msosi!
mimi natokea d, sijui nyinyi mnaongea ni!
watu watu wakutokea mdhii
mavitu mingi mi siwezi kapotea mdhii
moto ya mbali kuotea bui!
toka before inatokanga ni raw
inakuw-nga ni war
ma-shoka ma-blow unavunjangwa ma-jaw
ulizanga oteraw aha! yeah!
utapenda tu
venye mchizi nateleza-tu – (kweli man!)
design ya mboga ya mrenda doo
na hiyo bado naiitanga mic check one two (one two!)
dandora kwa nyumba
ukijishasha unaporwa unadungwa
(chorus)
bizy bizzy bizzy blazzy blazzy blazzy
ikibidi uji-kaze kaze brathe
siku hizi hatutaki skaji labde
ikizidi basi ujikate fasteh!
kama wewe bibi ipake mate
sijui namna gani si……
……………………………
mungu ye hawachi watu wake
siku hizi niko busy nipate shakeh
(verse ii)
wanangumi wajadi tenee
wasomi washijaki watembee
ndipo nikivutaji kizee
kick-ka-punda bana!
kuperfect hii sh-t tunaunga njama
kula nyasi huyu simba anakula nyama
kujaribu kutu-diss tutakuandama
tuta ku-tie na ship vile unazama
utabanja design umevuta ganja
kula mkwanja (haha!)
napigiwa verse mpaka…. wadozi
naacha home wife akimwaga machozi
na haribu form like kuleta gogozi
na kila mmoja anataka ku-sosi
jicho nyanya utasema nimevuta bangi
kutoka mombasa ni mpaka kule budalangi
watoto wadogo wanataka toa buda rangi
(chorus) x2
Random Lyrics
- gorgeous children - technicolor lyrics
- peta kolona - repanje na najjače lyrics
- de kraaien - broekie lyrics
- cryptic wisdom - outside lyrics
- tech n9ne - we just wanna party lyrics
- famouss tae - fuck white cops lyrics
- solar/białas - nasramy ci w gitarę lyrics
- empress of - woman is a word lyrics
- anne sylvestre - quand on dansait la vie en rose lyrics
- the sweet remains - dance with me lyrics