jomonotics - jobless graduate lyrics
ninatry so hard ninatry so hard aye
ninaweka bidii na sichekingi change ninafeel iko invain
nimebeba degree but still ninafeel kama iko useless
ni shamba ya mawe unachimba na hope iko pointless
ninasaka doo kila day and night ninawork ndo pole pole ninagroww
nimesaka nimekosa nimechoka nimesota ninataka kulet you go ya ngori zozote za jana i promise sitacarry forward
key word ya hii game ni connection my g bila hio utapotelea kwa umati mental health ikishuka jua nakujali aye aye that’s real my g
no friend no foe baby don’t mind me niko easy niko chill nikido my thing najiondolea pressure that’s by all means ju the end justify the mеans
campo ni juzi nimetoka na sahii eti helb wananidai loan (dai loan)
mi’ ntalipaje hiyo dеni na mnajua vile mi’ sina job (sina job)
campo ni juzi nimetoka na sahii eti helb wananidai loan
mi’ ntalipaje hiyo deni na mnajua vile mi’ sina job
ni connections, mimi sijui yeyote
isifike depression, maisha mbaya isiwe option
na ni kama hakuna haja ya shule
ju ukisoma bado uneza kosa kazi
nairobi kutafuta kazi ndio kazi
rigathi said there are no jobs
it’s so sad, wanataka ni come na experience
where do i get that? na mi’ ni jobless graduate
jina yangu ya kwanza qualified na ya pili jobless
jobless, juu kuna unqualified fulani job
nimechill na lunch inacome, tumbo inishow ina njaa (njaa)
landy anagoja end month, anidai ni ka’ ninawork
ever since i was young, i dreamt so big to have a good life (good life)
nikaenda shule on a daily ndio nipate chance ya kulive like i like
na sahii hakuna job, (job) mi’ pia sirudi home (home)
mambo n hard, jobless graduate (graduate)
Random Lyrics
- taylor hicks - six strings & diamond rings lyrics
- benji & fede - tiratardi lyrics
- t-drick - move on lyrics
- mat kerekes - made of wax lyrics
- news - 柔らかなままで (yawaraka na mama de) lyrics
- naicket - за окном (outside the window) lyrics
- dj aquana & feest dj maarten - zie ginds komt de stoomboot lyrics
- sqty - milioner lyrics
- nazeel azami - salām lyrics
- the elovaters - m.i.a. lyrics