azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jomonotics - plan lyrics

Loading...

we’ ndio plan

niko happy mimi nishakuoa wewe tupendane milele
na forever i mean, hapa duniani na hata mbinguni
life sio, rahisi ivo vile ilisound
zikikuja shida tumpambane nazo hakuna kuwachana mimi na wewe
hii life na we’ inanaais
no regrets walahi
na ukiamua kwenda hiyo ni sawa jua tu naenda na wewe
na iwe chachu ka’ ndimu bado ni sour mimi hupendanga lemonade
mimi i’m living my dream
dream team, wife and kids
boo, dream yangu ni wewe
one plus one is two hii hesabu yetu we’re two but one
na vile familia zеtu zilimerge, i like that

pеnzi ni mbali tumetoka
hapo awali nilikuwa joker
mchezo mchezo kucheza poka
ulinipenda kabla kuomoka, hadi nikaokoka
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)

na ile future nilitaka ndio hii
please endelea k+make hii s+x interesting na me
ile trust niko nayo kwako ni all round like cds
nikikosa like a e i o u forgive me
my best binadamu ni weeee
sisi ndio goals na mabao tutafunga mileele
hii ni real right now, tushakafunga now
mi’ sio daktari but nakutibu vizuri
asante sana for being real around me
sipendi honey na ka’ ni wewe please count me in
na vile hii style yetu si polygamy
can i love you twice on a daily
mi’ niko sawa na monogamy
but can i wife you twice
mbali tumetoka
hapo awali nilikuwa joker
mchezo mchezo kucheza poka
ulinipenda kabla kuomoka, hadi nikaokoka
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)
we’ ndio plan (you’re my plan)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...