jomonotics - this far lyrics
ooh yeah
ooh yeah ooh yeah ooh yeah yeah
ooh yeah
it’s jomo, it’s jomonotics
tuseme 1st year, ni masaa ya kuingia
fresh from high school, green bila idea
2nd year, settling here and there
dem dem, dem boy, boy boy, zoea
3rd year, stress inaingia
mzazi hatumi pesa anymore, njaa inamia
4th year, ka’ uko ready malizia
uneza extend bora tu kugharamia
najua miaka nne but why?
tunamaliza mapema twende wapi?
bro hakuna hata attacho 3rd year
kazi yenyewe itapatikana!
mzazi alinituma campus
akitarajia nitaomoka after that
na hii maisha inanibamba sana
mchana niko daro na usiku nahave fun
na ka’ kuna kitu nafancy
akili kichwani huwezi kuniibia
mom mi’ nasema asantе
mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
this far, thank you lord (thank you)
this far, thank you lord (thank you lord)
this far, thank you lord
this far, thank you lord
kuna mabeshte wa kuivisha fom
na walе wa kutokea
long holl ni ufala kwenda home
such moments are rare
ukienda unamiss on a lot
na ukirudi unapata manzi ashamove on
unalialia manzi yangu, mara chali yangu
hizo shida ndogo hapa hatusolve
bro, we ‘ ngojea mafresha
labda huko uneza angukia
tuliza pressure
na kwa life, make focus clear
mzazi alinituma campus
akitarajia nitaomoka after that
na hii maisha si inanibamba sana
mchana niko daro na usiku nahave fun
na ka’ kuna kitu nafancy
akili kichwani huwezi kuniibia
mom mi’ nasema asante
mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
this far, thank you lord (thank you)
this far, thank you lord (thank you lord)
this far, thank you lord
this far, thank you lord
this far, thank you lord (thank you)
this far, thank you lord (thank you lord)
this far, thank you lord
this far, thank you lord
Random Lyrics
- pat tierney - find your way (beautiful boy) lyrics
- isemhi - circle circle dot dot lyrics
- dead end (jpn) - spider in the brain lyrics
- good bana - habitué lyrics
- rezlaine - if this doesn't kill me lyrics
- pom pom squad - montauk lyrics
- paris paloma - the warmth (audiotree live version) lyrics
- dreamcatcher weeping meadow - underground prison lyrics
- ka - counted out lyrics
- amu henry smalls - edgyotaku lyrics