jonny isaya - naliaka (mother) lyrics
mama
nimekuwa nikikutazama kwa muda
na ningependa kukuomba kama
ungeweza nipa madakika kadhaa
unanizingua
yeah
ninachizi na hio sio siri
kuelewa mbona nahisi hivi
kila time mama sielewi
and i can′t get you off my mind
naliaka
kweli umeumbika naliaka
ni wewe tu nataka naliaka
wewe ni baraka malaika
naliaka
yeah
interlude
baby
kipofu wa mapenzi kwani sioni
maisha bila wewe mwizi
wa roho yangu baby ninakuthamini
ninakuenzi mama yeah
ninachizi na hio sio siri
kuelewa mbona nahisi hivi
kila time mama sielewi
and i can’t get you off my mind
naliaka
kweli umeumbika naliaka
ni wewe tu nataka naliaka
wewe ni baraka malaika
naliaka yeah
interlude
uh
cheki we ni msupa kuruka nikipita nawe tufisi tunashtuka
uko ligi flani enye huwezi kushuka kukupata ilibidi tu nimerauka na
level 10 ndipo unaporeside no wonder all day we huniwacha cloud 9
number 8 ili borrow figure kwako why lie
bado hijafika though umbali wa 7 times
6 figure worth ya mahari 5 star mama uh tena bila swali
4 her yes niko ready ku provide 3 meals everyday till the day i die
2 me ako fabricated na wife material
haogopi chieth ye ni boss lady period
at the same time ni definition ya fun
doesn′t take a g+nius to see that you’re the 1
Random Lyrics
- chilli vanilli & brass knuckle - krieg im block (pastiche/remix/mashup) lyrics
- goodvibes sound - maybe i'll try lyrics
- ishka - dragon lyrics
- avonnie - fantasy lyrics
- 424kp - antidote4pain lyrics
- jean repetto - teardrops lyrics
- bidesão - eu duvido lyrics
- duzin - wave diferente lyrics
- leah (can) - remember lyrics
- s3r1al-d3s1gn4ti0n-a - idk what to call this its probably the intro if it is lyrics