joslin - niite basi lyrics
(instrumentals)
[chorus]
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
[verse 1]
unapo niita mpenzi, ‘joslin napata wazimu
isitoshe baby, ‘pale unapo nichumu
mwili unasisimuka, tena napoteza fahamu
baby
ningefanya nini?
washkaji zangu daily mi wananicheka
jinsi mpenzi ulivyo niteka
wanasema siku moja utatoroka
halafu ‘mi nitabaki teseka
ukifanya hivyo, ‘baby, ni vibaya hivyo
utanitesa mimi, ‘baby, ni vibaya hivyo
hata nikiwaona masela nitaona soo
niite basi mpenzi wewe ndio kipenda roho
[pre+chorus]
ona unaniweka wasiwasi
baby girl njoo mi nipate nafasi
ona unaniweka wasiwasi
baby girl njoo mi nipate nafasi
[chorus]
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
[verse 2]
mi nataka twende kwetu kwa wazazi
lakini mpenzi ubadilishe mavazi
kusudi tukifika wasilete kipingamizi
njoo basi, njoo, ‘w+ngu mpenzi
nitafurahi ukiwaona ndugu zangu
bibi na babu, baba na my mama
na uhakika watakuombea kwa mungu
maisha yako yote yasiwe machungu
napenda pozi zako baby unapo shika dread
napenda unavyo blaze macho yako, yako (?)
napenda unavyo shake, kiuno chako kama ray+c
napenda unavyo niambia ukweli (?)
[pre+chorus]
ona unaniweka wasiwasi
baby girl njoo mi nipate nafasi
ona unaniweka wasiwasi
baby girl njoo mi nipate nafasi
[chorus]
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
[verse 3]
yeah
usione kama naropoka mi nipo real (real)
ina maana unataka sema ndio watao ni feel? (watao ni feel)
sikiliza baby girl ni fact i’m dying
naomba unielewe basi mi nipo kwenye line
ndio maana daily nataka niwe nawe
siwezi kuishi maisha pekee yangu bila wewe
nita enjoy vipi wakati nipo mwenyewe?
ni vipi nitafurahi, wapi nitajidai?
nishachoka dharau, daily wapite na wake zao
washkaji zangu wa home, wote wana ndoa zao (baby, baby)
niite basi ili mpenzi we uwe w+ngu
kama mungu akipenda na amini utakuwa kw+ngu
[chorus]
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
[chorus repeat]
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
niite basi mpenzi uwe w+ngu
nikakutambulishe kwa ndugu zangu
shida zote ulizo nazo ni za kw+ngu
njoo, oh
njoo, oh yeah
(instrumentals)
Random Lyrics
- niken salindry - sadar posisi lyrics
- catsclaw - namesake lyrics
- devil's reef - born of blood lyrics
- jughead - run! lyrics
- imsolosercore - get out! lyrics
- lekhaina - anormal lyrics
- nine bar - it's cold inside lyrics
- morandi - kalinka (mike tsoff & german avny remix) lyrics
- koma - alambre de espino lyrics
- konvikted kriminals - mike formula lyrics