jovie jovv - bandit (clean) lyrics
[intro: jovie jovv}
eyy eyy lets get it lets get it
ayayai ayayai ayayai ayayai
aki walai
ei ei ei lets get it lets get it
[chorus: jovie jovv]
naekelea kazi ndio joh nijipange ( ndio joh nijipange)
kunifikia imegeuka challange ( geuka challange)
stori za uzembe manzei nilisare nikona kilo kejani nataka itembezwe dago hadi karen ( dago hadi karen yaah!)
toka zamani za kale jovie na reppingi kila mahali
wimbo ni kali vile nadrip ungedhani nimegeuka bahari
kama ni beef utaletewa sahani kama ni love nai sanif (nai sanif)
jovie mtaa wananiita bandit ( lets get it)
[verse 1: tokyo sauce]
chaparakati mi hu sag mi hu piga ma mbati
mi hu dash nikitoka ma ngate kaa ni dooh mi hupiga hesabati
shrap ni k+moto ndio maana nilikata manate (nlikata manate)
dame ni ka poko na k+ma inanuka samaki (eeaah!)
dame ni ka poko ndio maana siezi ki cuff
kaa huwezani na maisha ya jiji ni ocha nairobi manze ni ku tuff
[?] kwa streets dope in the trunk opps want beef they know that its up ( they know that it’s up)
tokyo stand on the stage and i told them to open it up ( open it up)
[verse 2: jovie jovv]
leta hio nare ni seti hii gode imetoka moyale
kwa roadi na piga ki rwabe mrenga imegeuka mshale
we bado uko bed jovie alirauka ngware
niko ma laps sichoki ma morio ma doggie wa wache wa lale (wa wache wa doz)
neighbour anateta hii ngoma ina debe mwambie a hame
hii loud inanipatia wings na cheza ki sadio mane
wapoa wamepanga line wanadai ni wa hanye
kutu ina mada ma youth nawaletea food wacha wakulange
[chorus: jovie jovv]
naekelea kazi ndio joh nijipange ( ndio joh nijipange)
kunifikia imegeuka challange ( geuka challange)
stori za uzembe manzei nilisare nikona kilo kejani nataka itembezwe dago hadi karen ( dago hadi karen yaah!)
toka zamani za kale jovie na reppingi kila mahali
wimbo ni kali vile nadrip ungedhani nimegeuka bahari
kama ni beef utaletewa sahani kama ni love nai sanif (nai sanif)
jovie mtaa wananiita bandit ( lets get it)
Random Lyrics
- claude - littekens lyrics
- purpleca$ino - can you be mine lyrics
- viscerx* - rah lyrics
- amigos - die tür zum elternhaus lyrics
- oxyn - #ichigo kurosaki lyrics
- nervous young men - natureism lyrics
- yung cheddar - dont be a drag lyrics
- narlo - go crazy lyrics
- romapeyplay - шутер lyrics
- defspiral - pulse lyrics