azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jt the bigga figga - midnight lyrics

Loading...

[intro]
it’s trapflix
young+young+youngstar on the beat like

[chorus: domani munga]
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere
[verse 1: jt the bigga figga]
i was the first young n+gga on my crew to have a hundred thou’
first time i hit the block my hood had me goin’ wild
fillmoe, everywhere i go i had to rep that
put it on my back and all the k!llers gon’ respect that
comin’ up all way to ten toes was a twelve storey
grand prom [?] on street i had to get the bread for it
the old skool gang bangin’ sh+t my pedigree
fist fight you know it’s on sight n+gga let it be
california livin’ r.i.p to the mac dre
forgiatos coming off the block on the run+way
top+down palm trees blowin’ through the summer breeze
cannabis growing weed, know you gettin’ none of these

[verse 2: sewersydaa]
shanda crooked leaders, usibanje jo utaumizwa
siku hizi mi huitwa mziza biz vile si humaliza
number one kwa deezer, mi na we hatuna riba
always on guard, on god, ukitry utazima
nikifire back mission zenyu zita+backfire
mi hush+t+ia gava maithaa na sinaga haya
tuko serious mbaya, hakuna comedian hapa
labda ma doc na rappers ju ya venye tuko madawa
ni kitu 11:45, 15 to midnight
vijana forty five, westie you see that
gwethe zikishika labda mdenge kuishia
unaambiwa protect your b+tch, venye unaprotect your beer
[chorus: domani munga]
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere

[verse 3: ajay]
acha ikuwe ka inakuwa issa warfare
streets cold cheki puff ni ya moncler
sij+piga lugz, niko on air
unabonga mbaya kwa mneti na huwezi tokea
juu ya bmx naichochea
i’m selling cali weed, huku east
young badboy uh niko biz
street boy ongea vile ulikuwa unaongea
sai huwezi banja ulijifanya don’t care
hamwezi kanashi, am all about my checks
nadai kuburn na shee
best rapper wako anasalute akiniona haezi kaa atiz

[verse 4: mr right]
blackman king nimekam kiwakanda
on top of the roof, so bro panda ladder
the other way round naifanya vice+versa
business man, napenda ma ankada
ukibuy nadeliver, tee inaglitter
flow ni origi hakuna story za mafilter
heat ka miami, plus hit kama hitter
ye ni blackman king hawa wapoa wanawhisper
12 oclock though ilikuwa ni midnight
cm gears nfs bro ni midnight club
don’t play with me usinidub
it’s the big smoke and we smoke straight herbs
bench press back na mazoezi za abs
so hold breath if you wanna swim with the sharks
bench press back na mazoezi za abs
so hold breath if you wanna swim with the sharks
bench press back na mazoezi za abs
so hold breath if you wanna swim with the
[chorus: domani munga]
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere

[verse 5: scar mkadinali]
uh, waambie jo wasare umama
tumeuza boza shinda mathe wa ngara
njora tunaisharpen iwe sharper
sio sai, siwezi kuwa soldier fallen hapana
yo nafanya kazi niondokee
sambwa kama ya nfl, shamba bado niunde fence
mbaba ndo uniunderstand
kile nitakupea jo ni shada
nikutricky jo naweka scarecrow kwa jaba
tun+z+tinga in the midnight, kinda in the midweek
zangu ni za kivulai chapanisha then i leave it
scar de had to leave nai, afande had to leave me
you cheking then you realise you f+cking with the releast

[verse 6: domani munga]
hahahaha niaje jo ama vipi?
[?]
we ni all about
when we in and out, hahaha
bei za jioni nawatembeza njugu nawachai
alafu asubuhi asubuhi nawauzia mandazi na chai
n+z+uza kando ya mrota si za mokorino
niko na mariandasi, doch hallo, wewe
krrr una+una+aah
unalia why? unacry my
si nilikupea pesa, ukalialia
sai sasa, si nimeenda tulia

[chorus: domani munga]
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere
na ilikuwa ni midnight
vijana [?] westie tuko gwethe wasted
na ilikuwa ni midnight mmh hmm
luere luere



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...