azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jua cali - kwaheri lyrics

Loading...

yeah, ahah
yeah, ahah
siku mingi joh
kwaheri

[verse 1]
kwani nimewekewa madawa, siwezi kukuacha
kila mahali unaenda mi nakufuata
siogopi kukuambia, mi nakupenda
watu wa wivu nao zao ni kusemasema
huyo manzi alinipigia simu mi hata simjui
mi nimekuwa studio
ati tulikuwa naye wapi juzi
hizo ni uwongo na unajua
mlango yangu iko wazi
we ukitaka kurudi nimeifungwa
unasema hapana, hapana
huku ukilia mi navumilia
mi nakazana, nakazana
after hii yote, siamini bado unawezaniambia…

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
[verse 2: jua cali]
ninashughulika kila kitu yangu irudi fiti
vile ulipotea tu, watu mtaani wakafikiria nimechizi
silali, kusema ukweli sikuli
kejani bana hata siku hizi hata situlii
nipige makofi labda naota
ama nikuache
pia naskia ni kama nimechoka
kujitetea pali niko au pali siko
nasi tumetupa, miaka sita hivyo
unasema hapana, hapana
huku ukilia mi navumilia
mi nakazana, nakazana
after hii yote, siamini bado unawezaniambia…

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri

[verse 3: jua cali]
hasira ni ya nini, bana tulia
biashara yetu bado mi nimeishikilia
na nguvu yangu yote, naweza
pesa zako kuna mali poa nimeiweka
unaweza chuna kadhaa ukitaka
zile zitabaki, nunua nazo shamba
lazima tufikirie maisha yetu ya mbele
sio kila siku kelele kelele
[bridge: sanaipei tande]
tukiwa na wewe
mambo yako yenda kombo
j+po nisongeapo
matatizo yako yakoma

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri

[bridge: sanaipei tande]
tukiwa na wewe
mambo yako yenda kombo
j+po nisongeapo
matatizo yako yakoma

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri

[chorus:sanaipei tande]
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri
nakuaga mi kwaheri
nami ninakutakia la heri
kukupenda mi siwezi
jamani, mpenzi kwaheri



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...