juicee mann feat. cko & nare - kilipesa lyrics
chumba cha ngoma yaaah
sana
yaah
sana
kili… kili
uzrrr
kilimoney, kilipesa
kila siku tunasaka madough
kilimoney, kilipesa
pile pile wan wamanyo ga form
get the money, get the pesa
kila siku tunasaka madough
get the money, get the pesa
haaa
bado unasaka maganji
kilimoney, kilipesa
weeeh
unajua hali ni gani
kilimoney, kilipesa
kila siku tunasaka maweng
get the money, get the pesa
buda jua tuko kwa roadie
get the money, get the pesa
kila siku tunasaka the. aah. mulla
kilimoney, kilipesa
ehhh… tunasaka bana
kilimoney kilipesa
sana, sana, sana
get the money, get the pesa
kila siku tunasaka madough
get the money, get the pesa
pile pile wan wamanyo ga form
pesa otas pesa otas man. mulla, mulla
j mulla kwenye tune mayne. juicee, juicee
hot or cold bado juicee mann. hot or cold
ccn they my crew mayne. chumba cha ngoma
ah haa. niko roadie napiga missioni flani
kuna mbogi imesunda mali kejani
ile price unataka haiwezekani
what a time to be the boss in kilimani
ni sha tuma juug na nduthi
tenje tatu nshachapiwa sasa who this?
hii game haitaki mapenzi ya cupid
watume ganji ndo naeaza wasort ma new shhiit
nairobi tunasaka maganji hadi wasee wanabreak over text
mbleina alitupa ma letter kwa mao alikuwa anatafuta value ya x
usipojituma utajuaje next?
mziki ndio kitu itafanya niflex
setting ishapigwa kitu imebaki finesse
umeskia zile vitu wanafanya for money? huh
story za ganji ni horror gizani
kutokwa si lazima safi
the band itafanya nichizi
wacha nishike ma mita waseme huyu kijana ni mwizi
k+mbe mi nacheza chini
kuna wasee hawataki kucheki ukipita g
rada ni chafu already we bora usicome clean
kutoka kanisa hadi kwa gang nani hataki maganji?
biz ya gover na ya mtaani nani haikosi mabandi?
ma+lane kadhaa umeona wapi parking?
kilimoney, kilipesa
pile pile wan wamanyo ga form
kilimoney, kilipesa
kila siku tunasaka madough
get the money, get the pesa
i′m getting money in kilimani
get the money, get the pesa
sana, sana, sana
kilimoney, kilipesa
ehh tunasaka bana
kilimoney, kilipesa
i’m getting money in kilimani
get the money, get the pesa
i′m getting money in kilimani
get the money, get the pesa
i’m getting money in kilimani yeah
i’m getting money in kilimani
i′m getting money in kilimani
i′m getting money in kilimani yeah
i’m getting money in kilimani
i′m getting money…
Random Lyrics
- a bronkka - meto bronkka (part. edcity) lyrics
- r u s s e l b u c k - russy's big ol' butt - dj version lyrics
- green killa x lonely cry - pipedown lyrics
- biro, pig j - olhos da lua lyrics
- r4k45h1 - whoa! lyrics
- olexesh, azad & samra - ghetto lyrics
- blachu - ia lyrics
- hotelo - esperei tempo demais lyrics
- tisin - distimia lyrics
- napoleon da legend - elusive dreams lyrics