juliani - exponential potential lyrics
yeah
exponential potential
[hook: juliani]
walitudharau..
aha aha hao
who’s laughing now…
exponential potential
wana’drown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
who’s laughing now…
exponential potential
[verse i]
millioni from 10 bob
nilitoa wapi extra zeros
jiulize mbona doughnut inashimo
shingo shortcut ya mf-ko
dough[doe] ni legal
dish kwa rooftop
siya dstv ya kuomba dish distinct
vampire vegeterians, whiteheads
non-believers wanatuita highcl-ss
soma colle’ juu ya nightclub..
this hustling haitamani payslip
kutoka nikue feotus
mpaka mahali nimefika
god’s finger ime’move strings
[hook]
walitudharau..
aha aha hao
who’s laughing now…
exponential potential
wana’drown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
who’s laughing now…
exponential potential
[verse 2]
kutoka kitambo nimekua photogenic
wazazi wali’insist na story ya photosynthesis
nani hajui udaktari si lazima ukuwe mwerevu
(na)kwa karatasi ya dawa
hawamalizangi esabu
ocampo wana’need more ink, more pages..
jina zi’fit kwa list
si’exaggerate
nika kufunika puncture na bandage
ndovu haiwezi hata ngumi ya mosquito
me si mu’important
bila mimi mama mboga hata hana customer
ngumu kw-ngu kizungu fluent
but huwezi command umati na influence
[hook]
walitudharau..
aha aha hao
who’s laughing now…
exponential potential
wana’drown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
who’s laughing now…
exponential potential
[verse 3]
kuku yangu inalia ikona swine flu
iliponiona nikinoa kisu
nilikaribisha ili’-ssume ni pet si food
homa inafunika nostrils
coincidentally anapika seafood
akidhani sinusi harufu
uchoyo hainaga karibu
msoto iki’knock door
iko “like you look familiar we’ve met before”..
kuku ina’idle inje kenchic ni death pending
hardwork get[s] the best out-of life
get saved get the best out-of…death
Random Lyrics
- triptik - la moitié de moi lyrics
- g-eazy - well known lyrics
- young dopey - lord can you hear meh!? lyrics
- mac miller - track by track - diamonds & gold lyrics
- ancient empire - shadow of the cross lyrics
- hopsin & swizzz - funk volume lyrics
- keith urban - tumbling dice (live) lyrics
- grand corps malade - à l'école de la vie lyrics
- sting - mad about you - live in berlin/2010 lyrics
- jxxiii - leave lyrics