juma jux - utaniua lyrics
iyeeeeei, iyeeeeeiiye, iyeeeeei
imekua asubuhi
uwanja wa mapenzi moyoni umechaf-ka
nami sitaki
kuf-gia upendo uende
nina jua yangu roho
ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
ndio maana ukiwa tofauti baby
unaniumiza ndani ndani (iyee)
bado najiuliza ni kipi sijatimiza
bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa)
bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa)
bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa)
hey!
utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
my baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
utaniua ua…
nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha)
nikajibanabana ilinisijikweze (ha)
sikutaka kugombana nikupoteze baby
ilimradi niwe na wewe
kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love)
ulisema mpaka kifo mama (ha)
tungelizikwa wote, (tungelifa wote)
ila unanikatisha tamaa (ha)
mimi sitaki uende
bado najiuliza ni kipi sijatimiza
bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa)
bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa)
bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa)
hey!
utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
my baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
utaniua ua…
(we mama wee) unaniua ua
(we mama wee) unaniua ua
(we mama wee) unaniua ua
(we mama wee) unaniua ua
unaniua ua (haaaha) hey (haaaha)
oh baby unaniua ua (haaaha)
wewe unaniua ua (haaaha) heiyeiye (haaaha)
unaniua ua (haaaha) mh-hei (haaaha)
unaniua ua
you love is the one
you love is the one
you love is the one
i want your love
Random Lyrics
- captain overhang - i don't mean to lyrics
- loudon wainwright iii - westchester county (live 1993) lyrics
- birth of depravity - subconsciously confined lyrics
- jotta a - aleluia lyrics
- facebreaker - world cremation lyrics
- lil baby - my dawg (remix) lyrics
- derez de'shon - no love lyrics
- wanyudou - so dark lyrics
- rishav shah - bohtzada lyrics
- authentic intelligence - a letter lyrics